Borussia dortmund wanatuchukuliaje?
borussia wanahitaji euro million 95 kwa ajili ya jadon sancho, kwanza man utd walituma euro million 75 lakini borussia wakakataa ofa hiyo. Taarifa za jana jioni zilizoandikwa na reporters wengi zinadai ya kwamba man utd walituma tena ofa yenye thamani ya euro millioni 85 (pungufu ya euro millioni 10). Taarifa za leo zilizozagaa mchana huu zinadai ya kwamba borussia wamekataa hiyo offer ya euro millioni 85.
Ile jeuri yetu ya zamani imekwenda wapi, nakumbuka sir alex alikataa kumpandia tena dau lucas moura baada ya waarabu wa PSG kuingilia dili lake, leo hii tunachezewa mpaka na timu mfano wa crystal palace na leicester city kwenye negotiations, hii ni aibu.
Nitaumia sana endapo klabu itashindwa kupunguza hata shilingi moja ya bei iliowekwa na borussia.
Borussia wanatuwekea ngumu kwa sababu wanahitaji wabakiwe na kiwango kikubwa sana cha fedha (man city watakuwa na mgao wao kwenye hili dili)
[Simon Stone] There is a 15% sell-on clause in the deal ManCity negotiated when they sold Sancho to BVB in 2017. This is across the total fee.
simon stone anaandika mchana huu
Simon Stone says our bid was rejected but we may not have to meet Dortmund's valuation.
View attachment 1828511