Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Unauhakika ukipewa hao wachezaji unabeba EPL? Au UCL?United haihitaji DM inahitaji rightwing mzuri na centre foward mzuri pengine na modern right back.
Unauhakika ukipewa hao wachezaji unabeba EPL? Au UCL?United haihitaji DM inahitaji rightwing mzuri na centre foward mzuri pengine na modern right back.
wewe kijana msimu ujao ni lazima niondoke na alama 4 dhidi yako.Ukumbusho ni muhimu sana.



bila ya shaka hii timu una historia nayo (iwe ni nzuri au mbaya)Matakataka mnajadili Nini hapa?
#CFC![]()
Hahaha unajua mkuu hii timu Kila siku inajadiliwa hapa lakini hatuoni mabadiliko yeyote Yani. Kwa hiyo tunaiweka kwenye kundi la takataka tu maana hakuna jipya la maana litafanyika hapa.bila ya shaka hii timu una historia nayo (iwe ni nzuri au mbaya)
wasiwasi wangu ilipofika sikukuu ya krismasi mzee wako alikununulia jezi ya man utd badala ya jeans ndio maana ukawa unaichukia hii timu.
teh teh teh
mzee wa takataka



sisi tukikaa sawa khofu yangu wenye thread zenu mutazikimbia.Hahaha unajua mkuu hii timu Kila siku inajadiliwa hapa lakini hatuoni mabadiliko yeyote Yani. Kwa hiyo tunaiweka kwenye kundi la takataka tu maana hakuna jipya la maana litafanyika hapa.
Na wahusika wanaojadili hii takataka watakuwa ni matakataka pia.
Ndio maana nikauliza "Matakataka mnajadili Nini hapa?"
#CFC![]()
Kama Chelsea imetwaa ubingwa na kikosi dhaifu kama kile kwanini united ishindwe kwa hayo maingizo niliyotajaUnauhakika ukipewa hao wachezaji unabeba EPL? Au UCL?
Declan Rice anamzidi nini Fred au Scot ?Man u inamtaka zambo agusa wa Fulham,DM
Ndindi wa leceister city.DM
Rice wa west harm.DM yote ktk kuimarisha defense mediflder..
Sababu za man u kufanya vibaya ktk ligi ni kushindwa kuleta matokeo chanya kwa Fred na Mac Tommy..
mfumo anaoutumua ole double DM, ni kujilinda zaidi.
Hakuna timu inayotaka more attacking ikaweka double DM.
Lazima acheze mmoja mfano wa carrick na mwingine apande mbele zaidi Ili tuwe more attacking..
Haiwezekani hata siku tunahitaji ushindi utoke na double DM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea Ina kikosi dhaifu?? Eboo embu angalieni hii takataka kitu imeandika hapa.Kama Chelsea imetwaa ubingwa na kikosi dhaifu kama kile kwanini united ishindwe kwa hayo maingizo niliyotaja
Takataka baba yako fala weweChelsea Ina kikosi dhaifu?? Eboo embu angalieni hii takataka kitu imeandika hapa.
Hahaha hii timu itaendela kuwa takataka tu Hadi hapo itakapopata wachezaji wa kueleweka. Na siyo Hawa wakina Rashid na brunosisi tukikaa sawa khofu yangu wenye thread zenu mutazikimbia.
kuwa na sifa ya utakataka hiyo ni faida kubwa sana kwenu
kikosi chetu cha kwanza ni wachezaji wanne tu ndio hawana uwezo wa kuanza kwenye timu yenuHahaha hii timu itaendela kuwa takataka tu Hadi hapo itakapopata wachezaji wa kueleweka. Na siyo Hawa wakina Rashid na bruno
️CDM suggestion of the day: Joao Palinha
Age: 25 years
Club: Sporting Lisbon
Nationality: Portugal
Joao Palhinha is coming off the best season of his career after helping Sporting to win the Primeira Liga title.
WhoScored.com have rated him as the 7th best player in the league based on performances
His 3.3 tackles per game last season is significantly higher than, say, Declan Rice’s 1.8 per game.wewe kijana msimu ujao ni lazima niondoke na alama 4 dhidi yako.
tukifanya hivyo utarudisha heshima dhidi yetu.
teh teh teh
Kama Chelsea imetwaa ubingwa na kikosi dhaifu kama kile kwanini united ishindwe kwa hayo maingizo niliyotaja