D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ukiendelea kunukuu mfumo ule wa 3-4-3 nitakusulubu.Thubutu!
tuna mwalimu aliye serious dhidi ya mechi kubwa.
kazi kwako
ukiendelea kunukuu mfumo ule wa 3-4-3 nitakusulubu.Thubutu!
kikosi chetu cha kwanza ni wachezaji wanne tu ndio hawana uwezo wa kuanza kwenye timu yenu
huo utakataka unatokea wapi?
- wan bissaka
- victor lindelof/ harry maguire (kwa heshima ya thiago na cesar)
- scott/ fred (kwa heshima ya ngolo na jorginho)
- greenwood
️CDM suggestion of the day: Joao Palinha
Age: 25 years
Club: Sporting Lisbon
Nationality: Portugal
Joao Palhinha is coming off the best season of his career after helping Sporting to win the Primeira Liga title.
Statistically, he is cited by FBRef.com to have won the HIGHEST number of tackles (68) in the Portugese League
WhoScored.com have rated him as the 7th best player in the league based on performances
His 3.3 tackles per game last season is significantly higher than, say, Declan Rice’s 1.8 per game.
Another point to note, Palinha is JUST "35.5million euros"on the market according to Record
Another CDM candidate that perfectly fits all criteria United are in need of and probably be one of the best cheap options available. #mufcView attachment 1828572
ukiendelea kunukuu mfumo ule wa 3-4-3 nitakusulubu.
tuna mwalimu aliye serious dhidi ya mechi kubwa.
kazi kwako
Manchester United make an increased bid of almost £73 million for Borussia Dortmund winger Jadon Sancho.
Mechi moja Tu mmeshamtamani kumsajili️CDM suggestion of the day: Joao Palinha
Age: 25 years
Club: Sporting Lisbon
Nationality: Portugal
Joao Palhinha is coming off the best season of his career after helping Sporting to win the Primeira Liga title.
Statistically, he is cited by FBRef.com to have won the HIGHEST number of tackles (68) in the Portugese League
WhoScored.com have rated him as the 7th best player in the league based on performances
His 3.3 tackles per game last season is significantly higher than, say, Declan Rice’s 1.8 per game.
Another point to note, Palinha is JUST "35.5million euros"on the market according to Record
Another CDM candidate that perfectly fits all criteria United are in need of and probably be one of the best cheap options available. #mufcView attachment 1828572
....mnataka kuwa kama sajili za yanga na GSM mfano kipa wa mwadui kafanya vizuri dhidi Yao Kwa kufuta penalty wamemsajili...Joao Palhinha ni midfield mzuri sana ila ndiyo hivyo tutarundika midfielder wa ngapi kabla hatujatatua tatizo la kulia ?nimeiona miguu ya michael carrick kwenye mwili wa João Palhinha
Ukishakunywa mataputapu huko kwenu majani ya chai na kushushia na veve basi unakuja kubwata kwenye uzi wetu..jinga sana wewe jamaa.Hahaha unajua mkuu hii timu Kila siku inajadiliwa hapa lakini hatuoni mabadiliko yeyote Yani. Kwa hiyo tunaiweka kwenye kundi la takataka tu maana hakuna jipya la maana litafanyika hapa.
Na wahusika wanaojadili hii takataka watakuwa ni matakataka pia.
Ndio maana nikauliza "Matakataka mnajadili Nini hapa?"
#CFC![]()
85 ni euro millioniHii ni drama tu hakuna mchezaji atauzwa hapo, alafu hizi ni NYUMBU tu. Kama 85 imekataliwa iweje warudi na 73?
85 ni euro millioni
73 ni paundi millioni
jamaa hajakosea
jadon sancho ataletwa msimu huu na hilo ondoa wasiwasi kwa sababu klabu imedhamiria kukamilisha usajili wake ndio maana imeshatuma ofa mbili zinazokaribia kiwango kilichowekwa na borussia.Joao Palhinha ni midfield mzuri sana ila ndiyo hivyo tutarundika midfielder wa ngapi kabla hatujatatua tatizo la kulia ?
Hata Arsenal au Liver fresh tu kwake.ni press resistance wa uhakika (bahati nzuri au mbaya hatuna mchezaji mfano wake)
akipata timu ambayo haina presha kubwa atafanya vizuri sana
bayern walimnunua kwa fedha nyingi sana lakini alishindwa kuyafikia matarajio yao, huenda timu kubwa wataitumia rekodi yake na bayern kwenye kufanya uamuzi wa kuepukana naye.
zinaweza kuwa timu sahihi zaidi kwake
- everton
- wolves
- tottenham
yupo katika list ya DM wanaotafutwa na scouting yetu.i second you mkuu..nilimuona jana kunamovement nzuri sana alidribble, alipiga long pass nyingi nzuri etc.... amezaliwa 95 yupo sporting kama sijakosea
unatafuta vita na hao wadauHata Arsenal au Liver fresh tu kwake.
Kama Jadon Sancho akija msimu huu atatuongezea kitu muhimu sana kikosini iwapo atakuja na kiwango chake cha BVB.jadon sancho ataletwa msimu huu na hilo ondoa wasiwasi kwa sababu klabu imedhamiria kukamilisha usajili wake ndio maana imeshatuma ofa mbili zinazokaribia kiwango kilichowekwa na borussia.
khofu yangu ni kipi kitakachofuata baada ya sancho, taarifa zisizo rasmi zinadai ya kwamba bajeti ya manchester united ni paundi millioni 150. Ukitoa paundi millioni 80-85 za usajili wa sancho utabakiwa na kiwango kidogo sana cha fedha kisichoweza kusajili wachezaji wawili kwa mkupuo endapo tutaelekeza nguvu zetu kwa varane au torres eneo la ulinzi wa kati na hapo hapo unahitaji proper DM.
zipo taarifa pia zinadai Ole anamuhitaji kieran trippier upande wa kulia.
wasiwasi wangu mkubwa kuna eneo tutakuja kulifanyia usajili msimu ujao na hapo tutakuwa tunaendeleza kosa lile lile tulilolizoea la kushindwa kutatua tatizo kwa muda sahihi(tuliacha usajili wa bruno mwaka juzi tukateseka, mwaka jana tukaacha usajili wa sancho)
Huyu jamaa huyu JADON SANCHO ananikumbusha ya Owen Hagrives, tulilazimisha sana kumsajili, alivyo kuja ni mwendo wa majeruhi tu.Manchester United make an increased bid of almost £73 million for Borussia Dortmund winger Jadon Sancho.
ni usajili muhimu sana kwetu kama ulivyoelezea sentensi inayofuata.Kama Jadon Sancho akija msimu huu atatuongezea kitu muhimu sana kikosini iwapo atakuja na kiwango chake cha BVB.