Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
wameshinda kwa kudra za Mungu
Kawaida ya United...timu yako uwa inashinda kwa kudra za shetani?
Pia hukujua kuna kushinda kwa kudra za Mungu wakati ulipokuwa ukijipigisha kelele hapa?
wameshinda kwa kudra za Mungu
Mlikuwa mnapulia maji ya mustache hongereni
Mlikuwa mnapulia maji ya mustache hongereni
@mufcfans: Hernandez: The spirit at this club is always here - we fight until the last minute in every game. #MUFC
Kazi nzuri the lads,atleast Leo maji ya ilala yatashuka kwa amani!!!
Ila kiukweli Moyes anahitajika kubadilika haraka katika upangaji wa timu. Tuna squad kubwa mno ni suala la kujua how to pick the best out of it
hahahahahahahahhahahahaha bado mna ndoto za ubingwa au msishuke daraja?Kawaida ya United...timu yako uwa inashinda kwa kudra za shetani?
Pia hukujua kuna kushinda kwa kudra za Mungu wakati ulipokuwa ukijipigisha kelele hapa?