Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I think SAF alienda kwenye benchi wakati wa half time
 
It started with RvP, then came Rooney and it is Hernandez....84th minute
 
Still tunahitaji magoli,tumefungwa magoli mengi sana
 
Still tunahitaji magoli,tumefungwa magoli mengi sana

Kweli...tuna GD ya 1...hatujaachwa sana na wapinzani wetu ambao wa nyingi ana GD ya 11...

Tutawafikia....

Critical 3 points bagged in...14 points after 9 games...

I guess David gave the players hairdryer treatment....

GGMU...

Now to Nou Camp...

Hala Madrid....
 
I hope baada ya hii mechi Moyes ataijua first XI yake na jinsi ya kufanya sub
Kagawa,Chicharito,Evans,Januzaj,Rafael hawa wanastahili kupewa nafasi zaidi ya kucheza

Luis Nani,Ashley Young wanastahili kuuzwa Smalling hafai kucheza fullback wa kulia
 
Back
Top Bottom