hahahahahahahahhahahahaha bado mna ndoto za ubingwa au msishuke daraja?
hahahahahahahahhahahahaha bado mna ndoto za ubingwa au msishuke daraja?
Lakin ushind n ulex2
kama ndoto jambo la kufirika mwaka huu mtaota,eti ubingwa unakuja wenyewe,mlizoea kukimbilia kileleni,mtakula sana vumbi huu msimuUbingwa uifuata United...wenye ndoto za ubingwa wanajijua......
United uwa haina ndoto za ubingwa chifu...ndoto ni jambo la kufikirika....ingekuwa na ndoto, isingekuwa na vikombe 20!!!
Pole kwa kuchukia...hujazoea hadi leo tu maumivu unayoyapata kupitia Man United?
Nothing impressing subiri game ya Chelsea vs Man CityLala nalo na hizi picha
kama ndoto jambo la kufirika mwaka huu mtaota,eti ubingwa unakuja wenyewe,mlizoea kukimbilia kileleni,mtakula sana vumbi huu msimu
I think SAF alienda kwenye benchi wakati wa half time
unapotosha
Man U 1-Stoke City 2
utakuja kuhamia Everton mwaka huu ,...wachezaji wakubwa ila juhudi ziroPole sana kwa kuchukia arifu......
Ila nashangaa kwamba hujazoea tu miaka yote hiyo?!?
United siyo level yako arifu....ipo next level....
Shabikia timu yako mpaka ifikie level hiyo...
Otherwise, keep on hating the player (United) instead of the game (soccer in England).
Because, United is the symbol of English football.....
Da kwel hata kupumua napumua nw
Ubingwa upo pale pale kuna waliotangulia kabla ya nov kuisha watashuka kwenye nafasi zao