Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Cavani ndiyo tegemeo wengine wako wako tu sijui wana shida ipi
Sijui kwanini ana mbeba sana RashfordAngemtoa Rashford siyo Greenwood, Ole atachukiwa sana tusiposhinda leo.
Angalia comment yangu kwa chini, sikuwa napinga kuingia kwa Fred. Nikichokupinga ni wewe kusema kwamba Pogba atoke, alafu Fred aingie Ili Rashford asogee mbele.Nadhani umeona sub iliyofanyika. Japo hajatoka Rashford lakini katoka Greenwood ambaye ni Winga kaingia Fred. Maana Pogba anasogea mbele.
Hiki ndio nilikuwa nasema.
Inaonekana anampenda sana Rashford, na kuna Yule Martial pia. Hao wawili hata wakicheza ujinga huwa anawalinda sana.Sijui kwanini ana mbeba sana Rashford
Refa mbona Yuko fair😅😅😅Hivi huyu refa mna muelewa lakini,daaah[emoji28]
Sema Rashford kaupiga mwingi Sana 😅😅😅Inaonekana anampenda sana Rashford, na kuna Yule Martial pia. Hao wawili hata wakicheza ujinga huwa anawalinda sana.
Kuna namna fulani mkuu[emoji23][emoji23].Refa mbona Yuko fair[emoji28][emoji28][emoji28]
Tuanzebe kaingia jamani😅😅★Ole's reaction to Cavani's equaliser [emoji23]★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1798855
Umeona Sasa[emoji23]Refa mbona Yuko fair[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha utani mkuu[emoji23].Sema Rashford kaupiga mwingi Sana [emoji28][emoji28][emoji28]
Na kwajinsi alivyo nje ya mchezo psychologically mpaka Sasa, si ajabu akakosa penalty pamoja na kumuacha humo ndani.Ole amemuacha Rashford muda wote kwa sababu ya penalty. Mbona Mata mpigaji mzuri sana.