daah sijawai jua hilo mkuuInakula bando kama panyabuku mbele ya mihogo



Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA wekeni kikosi chenu tuone kama kitaweza mzuia Gerard Moreno kuwatia kuni 3
Wabadilishane upande na greenwoodHivi rashford kapatwa na nini huyo dogo?
Atoke aingie Fred then Pogba asogee mbeleHivi rashford kapatwa na nini huyo dogo?
Atoke Rashford aingie Fred.. dogo anaremba sanaMan u anaongozwa lakini atashinda bila Shaka yoyote.
Greenwood ni bonge la upcoming player, aongeze bidii tu. Shida sio upande, tatizo la Rashford ni kutaka U-ronaldo wakati akili haitaki, yani sehemu ya kupiga pasi ye anataka asubirie kijiji Ili atembee nacho,ukiangalia boko nyingi za kupoteza mipira kizembe zilizotaka kuicost team zimetokea kwake.Wabadilishane upande na greenwood
Wataachia tu.Hawa vinabo wamepaki basi
Sio aongeze cv,asifukuzwe na man utd mkuuHT. Villareal 1-0 united.
Villareal wana dakika 45 tu kunyanyua kwapa... Ole anapaswa kushinda hii game, imuongezee cv.
Fred ni mkabaji. Huwezi kua unataka goli halafu unaingiza mkabaji.Atoke Rashford aingie Fred.. dogo anaremba sana
Sema nimeona bora angeanza fred pogba angetokea benchi...Greenwood ni bonge la upcoming player, aongeze bidii tu. Shida sio upande, tatizo la Rashford ni kutaka U-ronaldo wakati akili haitaki, yani sehemu ya kupiga pasi ye anataka asubirie kijiji Ili atembee nacho,ukiangalia boko nyingi za kupoteza mipira kizembe zilizotaka kuicost team zimetokea kwake.
Dogo anazingua sana.Atoke Rashford aingie Fred.. dogo anaremba sana
Sijui ni kwanini habadiliki. Ndio maana natamani atoke Pogba asogee mbele. Maana Pogba kusaidiniana na McTominay bado naona ni shida na yeye ndio kasababisha kosa mpaka ikapatikana foul iliyozaa goli.Greenwood ni bonge la upcoming player, aongeze bidii tu. Shida sio upande, tatizo la Rashford ni kutaka U-ronaldo wakati akili haitaki, yani sehemu ya kupiga pasi ye anataka asubirie kijiji Ili atembee nacho,ukiangalia boko nyingi za kupoteza mipira kizembe zilizotaka kuicost team zimetokea kwake.
Na ndio maana haiwezi kutokea, comeback kwetu ni desturiMsiombe mkafugwa hii game dakika 90 mtanikoma humu ndani
.