Ili nisikupoteze.Castr Msasani
Mfuate Bodaboda yoyote mwambie unataka bar au kibandaumiza wanapoonyesha mechi.
Ili nisikupoteze.Castr Msasani
Mkuu naona haifanyi kazi kwa nini sijui??
Kabla ya hiyo game walipigwa kama wamesimama.Unai Emery, Coach wa Villareal hii itakuwaa fainali yake ya 4 ya europa league ndani ya miaka 10. Mara 3 alikuwa na club ya sevilla na alifanikiwa kunyanyua hili kombe mara tatu mfululizo.
Game ya leo ni 50/50. Ila kwa game ya mwisho kati villareal na real Madrid jumamosi iliyopita inanifanya niamini kwamba hii game itakuwa ngumu sana kwenu.
Hawa jamaa wanapiga pass za hatari. Mashambulizi yao unaona movie za magoli kabisa. Kwa beki zenu za Baily na Lindelof mjiandae kisakolojia. Niwatakie ushindi kwenye hii game japo sioni ni kwa namna gani mnaweza kushida.
Ukijibiwa ni tagJaman DSTV Channel namba ngapi?
Dstv hawaoneshi ...canal +Ukijibiwa ni tag
Dstv europa hawaoneshi mkuuJaman DSTV Channel namba ngapi?
KishaumanaTushapigwa
Unaingalia game lakini?Bado hajafukuzwa tu