Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii kikosi kinafungwa leo ila namba mbili haiponyoki. Naona Villareal sasa watafungwa maana jana walipanga kikosi cha kwanza litakuwa swala la uchovu
PSX_20210523_175932.jpg
 
Kuna mtu wa Chelsea huwa anapiga kelele sana kwenye uzi wetu. Aston villa ameamua kuwaharibia tu huko.
Aiseeeh bora wapigwe leo waikose top four, alafu fainali UEFA wapigwe tena maana Wana mdomo sana[emoji23].

Yani TT ashindwe kupata mafanikio akiwa na kikosi kikubwa cha PSG aje atambe na Hii Cheltako?
 
Mara paap, Juventus huyo Europa.

Sema Ac milan ana kazi ngumu mbele ya Atalanta
Screenshot_20210523-201246.jpg
 
Back
Top Bottom