Ball possession 17% kwa 83% [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tumepoteza game mbili dhidi ya Chelsea ,ila man city bado tuko bora sana ,na bado ninaiman kubwa sana kuhusu CL ,hatukuwa na bahat ,open penalty tunakosa wazi wazi ..Vipi c ulisema mechi yenu na Chelsea ndio itatoa picha kamili ya fainali au sio wewe mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi mkubali maguire hata siku mojaSijawahi kumkubali Lendlof hata siku moja.
Ni kweli mana pasi zinapigwa zinapita tuu.Cavani angekuwepo pale kati tungeshashinda mapema tu in my opinion.
GGMU
pole bhana mkuuCavani angekuwepo pale kati tungeshashinda mapema tu in my opinion.
GGMU
Muulize hivi je, amepata mbinu ya ku unlock defense ya Chelsea? Akikujibu unitag.Vipi c ulisema mechi yenu na Chelsea ndio itatoa picha kamili ya fainali au sio wewe mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngj uone Bruno atakavyofanya second half [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole bhana mkuu
Naona uliisahau kdg hii kauli mbiu yako mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado hajafukuzwa tu.............
Ajitahidi basi ili akifukuzwa aseme mafanikio yake makubwa ni kuishia nafasi ya pili
Walinisahaulisha malofa hawa.......Naona uliisahau kdg hii kauli mbiu yako mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile penalty kwanza haikuwa halali kama umaweza kureview review tena. We kubali umefungwa jiandae na mechi yako na nyukasto ya Chelsea huwezi [emoji3][emoji3]Mkuu tumepoteza game mbili dhidi ya Chelsea ,ila man city bado tuko bora sana ,na bado ninaiman kubwa sana kuhusu CL ,hatukuwa na bahat ,open penalty tunakosa wazi wazi ..
So tumejifunza namna ya kuwakabili CL final ...
We go ..
Cityzen chairman
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Walinisahaulisha malofa hawa.......