D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
chief, hapo kwenye udhaifu wa vikosi umeegemea kwenye eneo la matumizi ya kifedha au viwango vya wachezaji husika aliowafundisha?mara zote mbili mou alizochukua UEFA kabeba na timu zenye vikosi dhaifu (porto na Inter), na amefeli na Man u, chelsea na Madrid, hivyo hela sio kigezo sana kwake kama mnavyofikiri bali aina ya wachezaji.
hii Man city ya sasa hivi ilivyo moto, halafu unasikia mtu anakwambia Ole hana mbinu, mumemuona kocha wenu Pochetino? wamepigwa na 0 short on target. pengine na ligi wasibebe.
Guardiola anatufunga carabao tu, kwenye league mechi zote anakaa kajitahidi msimu huu kapata draw 0-0 kwenye misimu hii miwili ole kama Kocha permanent wa utd, mechi 4 tumemfunga 3 katoa draw 1 hajatufunga.ndio niliojifunza kwa miaka hii miwili
- mechi ya guardiola dhidi ya Ole usiweke suluhu kwenye mkeka wako
- zikiwa mechi mbili kila mmoja ana uwezo wa kumfunga mwenzake au Guardiola kuambulia suluhu mechi moja
- ikiwa ni mechi moja ni rahisi kwa Ole kupoteza
Of course matumizi ya kifedhi ndani ya miaka 2 alitumia 140M ambayo ni average 70m kwa msimu, hiki kiasi Roma wanakimudu japo soko la sasa hivi ni kubwa.chief, hapo kwenye udhaifu wa vikosi umeegemea kwenye eneo la matumizi ya kifedha au viwango vya wachezaji husika aliowafundisha?
hii ndio list ya wachezaji wa Inter milan waliocheza takribani mechi 20 za msimu wa 2009/2010.
wenye wino mwekundu wamesajiliwa na jose mourinho
julio cesar, ivan cordoba, zanetti, matterazzi, walter samuel, lucio, maicon, chivu, stancovic, sneijder, muntari, stankovic, cambiasso, vieira patrick, etoo, millito, pandev, ballotelli na thiago motta.
kumradhi kwa mfano nitakao utoa:
laiti kama hao wachezaji wangelikuwa wanajishughulisha na sanaa ya maigizo ya pornography huku jinsia zao zingelikuwa na za upande wa kike bila ya shaka wangeliitwa Milfs, kwa maana ya kwamba ni jamii ya watu wenye uzoefu mkubwa sana na kazi wazifanyazo kwa muda mrefu kwenye hiyo tasnia bila ya kusahau wastani wa umri wao unaakisi sifa hiyo (wengi wao walivuka miaka 27).
kwa mtazamo wangu Jose hakukutana na kundi la wachezaji dhaifu bali alikutana na kundi la wachezaji waelewa, waliokubali kwa pamoja kumuelewa jose kwa kile anachofundisha na anachokisimamia, pia naye jose alikubali kuzielewa hisia na firka za wachezaji wake anaowasimamia na bahati njema zaidi wengi wao waliendana kwa urahisi na mfumo wa ufundishaji wa jose (kama angelikuwa guardiola na system yake naamini angelishindwa kwa kundi hilo).
hao jamaa tayari walishakuwa na sura, fikra na mioyo ya mapambano takribani wote ila walikosa mtu sahihi wa kulainisha mashine za viungo vyao na ndio maana wakaonekana dhaifu, alipoondoka jose ule ugonjwa ukawarudia tena.
Pale real madrid alishindwa kuchukua champions league ni kwa sababu ya kudra tu za maulana (hususani ule msimu aliovunja rekodi kibao pale la liga yeye na timu yake) na si kwa sababu ya ufinyu wa kikosi au ulegevu wa wachezaji wake.
Tunaandamana tenaLiverpool’s Premier League fixture with Manchester United at Old Trafford has been rescheduled for Thursday May 13.
The game will kick off at 8.15pm BST and be broadcast live on Sky Sports.
Jiandae kucheza na kina Braga na Dynamo Zagreb huko Europa League..maana hiyo tarehe 13 tutawakimbiza ipasavyo.Liverpool’s Premier League fixture with Manchester United at Old Trafford has been rescheduled for Thursday May 13.
The game will kick off at 8.15pm BST and be broadcast live on Sky Sports.
Nishakubali mkubwa. Safari hii sina ujanja. Kweli kuimba kupokezana dahJiandae kucheza na kina Braga na Dynamo Zagreb huko Europa League..maana hiyo tarehe 13 tutawakimbiza ipasavyo.
Mtashushwa daraja 😂😂😂Tunaandamana tena
Tunaandamana tena upyaMtashushwa daraja [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata akipewa, hana lolote yule tayari amerudi kwenye nafasi zake. Yani hapo kurudi top four ni mpaka miaka 30 ipite.Liverpool apewe point 3 tu ,sababu mliogopa kuingia uwanjan mkajifanya mnaharibu uwanja
Kuku nyie
Chelsea watoto wao wanajituma sana tofauti na wa kwetu..shida yao ni kuwa wanapoteza chansi nyingi sana za kufunga.Watoto wa chelsea vs watoto wa united
Najiuliza tu watoto wa upande upi watakua matured haraka sana.....