The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mshaanza jumapili meza ikipinduka mnakataana humuKwakweli mwendo wetu unaridhisha kwa sasa
Tuko vizuri
Ushabiki umekushinda.. rudi kwenye kazi yako ya kufua nguo za ndani pale Guest.mashoga FC
Kwahiyo umeshatupeleka final taka usitakeMtajuta kuingia fainali Nyumbu nyie




Huyu mtoto asingefunga hapa angekuwa hajaitendea haki pasi ya chumba na sebule ile.6th goal. greenwoodView attachment 1768431
Tofauti ya mwanaume na mvulana hiyoWashambuliaji chipukizi wa MAN U, wanakitu cha kujifunza kutoka kwa Cavani. Jamaa ni mshambuliaji kwelikweli.Achana na hawa wa huku bongo, wengine hadi wameamua kuwaita "washambuliaji wakabaji
" (jokes)
Expound. Why are you hedging for Villarreal?
Good news, Cavan kaextend mkataba wakeView attachment 1769170
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
povu la nn sasa. hajuti mtu hapa.Mtajuta kuingia fainali Nyumbu nyie