ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,527
- 7,923
Wamepata shida saanaaa leo kuleARV najua keshaenda kutesa watu kule kwenye jukwaa la wachovu na emoji hizi
Sent using Jamii Forums mobile app


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wamepata shida saanaaa leo kuleARV najua keshaenda kutesa watu kule kwenye jukwaa la wachovu na emoji hizi
Sent using Jamii Forums mobile app


Rashford pekee ndio amekuwa flop leo.Socha angemuacha kwanza rashford apone
@Numbisa
HahahahahahhahahaaHee tumekwisha, hakuna amani kesho mitaani
Ujue timu yako ni kibonde kweli kama Pennandez anakupiga 2 na kutoa assist 2![]()
![]()
Hiyo ni fluke mkuuVipi Manchester City walivyopigwa 2 huku Pennandez wako akifunga penalty 1. Kwahiyo nayo ni kibonde
Huyu jamaa akirudi nistueniSioni cha kuwaharibia zaidi ya gundu la Ole kutoweza toboa nusu. Roma siku hizi nyanya


Waandishi wamekosa kalamu au karatasiMambo magumu Leo Kwa hawa waandish wa habar wa England
