Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,310
- 46,806
Kweli mkuu..Ni ngumu sana kuzipiga hizi tim ban na player wao kushiriki
Hakuna sponsor yeyote atakaekubal kuweka hela ya maana katika ligi ambayo haina top club, kwenye word cup ni ngumu kwa adidas na co kudhamini michuano ambayo haina masuperstar no messi,no ronaldo, no pogba etc
Hapa wakae mezani tu, wajadiliane bora hata iwe inafanyika baada muda flan like euro, world cup
Waliousuka huu mpango wameshayaona haya ndo maana wanapush kwa nguvu sana hii ishu.