Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Interestingly all have MANUTD DNA
PSX_20210419_075254.jpg
 
Super League

Mimi kama shabiki sijaona nitakwazika vipi na hii elite championship

Nawaelewa UEFA, FIFA, na vyama vya soka huko ulaya vikipata mhaho

Ishu kubwa hapo ni MAPATO, hao akina UEFA wanapiga kelele kwa kuwa wanajua hela zitatoka kwao na zitakwenda kwa mamlaka itakayokuwa inasimamia hii League, ambapo hiyo mamlaka ni vilabu vyenyewe vinavyoshiriki

Big companies watahamisha udhamini wao mnono kutoka kwenye mechi za Westham dhidi ya Norwich na kupeleka kwenye mechi za Man Utd vs Real Madrid.

Ligi za ndani zita struggle kimapato, timu ndogo zita strugle kimapato, vyama vya soka vya nchi vita struggle kimapato na UEFA na FIFA wataumia kimapato kwakuwa hizo timu kubwa ndio zitasimamia mashindano hayo

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio vita ilipo,
Sidhani kama fa,premier league,la liga,seria a,uefa, fifa n etc wako tayari kupoteza mapato kutoka kwenye michuano yao.

Hii michuano sidhani kama hivi vyama na board watairuhusu
Hapa huenda ikawa lose lose kwa pande zote,
Ngoja tuone kipi kitatokea
 
Ngoma nzito hii mkuu

Vita ya mapato hii

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1756095

sitaki kuamini ya kwamba hawa jamaa wamefikia uamuzi wakiwa peke yao, bila ya shaka kuna kundi kubwa la wafanya biashara, vyombo vya habari vikubwa vipo nyuma ya mkakati huu.

ngoja tuendeleee kuishuhudia hii vita kati ya matajiri na wazee wa kusimamia kanuni, sheria, miongozo na taratibu za soka ulimwenguni.

kwa waliofatilia hili sakata nahitaji kufahamu mfumo wa ligi utakuwaje ndani ya uwanja, niliwahi kusikia nyakati za mwanzoni kabisa ya kwamba hii ligi itachezwa viwanja tofauti vya nchi kama vile marekani na nchi za kiarabu, china. Lengo kuu ni kuwapa nafasi mashabiki wa nchi tofauti kuzishuhudia team wazipendazo

Je kuna ukweli wowote,
Chief-Mkwawa na Joh Doe
Nimeona mahala kuwa mechi za super league zitachezwa katikati ya wiki muda ambao pia CL games zinachezwa. Maana yake hizi timu automatically zinajitoa CL na EUROPA au nimeelewa vibaya hapa?
 
hili sakata sijabahatika kulifuatilia
kwa sasa acha nilibebe kwa dhumuni la kupata taarifa zilizojitosheleza
 
NAJUA MMEKAA KWENYE TV MKIFURAHIA KANDANDA SAFI LA MAN UNITED. SIRI YA YOTE HII NI ULE UJINGA WA martial UMEONDOKA. TENA AUZWE KABISA ASIRUDI HAPA.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Martial sio wa kuuzwa kuporomoka kwa viwango wachezaj kupo timu inatakiwa iendelee kuongeza majembe

Hivi yule AKE wa man city kacheza mech ngapi? Nani anamzungumzia? Ukubwa wa kikosi unatakiwa unapofanya vizur hata wachezaj wa bench wakiingia wanafanya poa

Martial bado anahitajika
 
Manchester United:
The Super League will be owned by the 15 founding clubs, who will put in an initial €2m and potentially a further €8m.
[@JWTelegraph]

BREAKING: JP Morgan have confirmed that they are financing the European Super League.
[Sky]
 
Manchester City and #Chelsea were later subscribers to the plan. The possible participation of Chelsea and Manchester City has been described by sources as more out of a desire not to be left behind, than a fervent desire to lead the lead the European Super League project.
 
busara inahitajika sana kwenye hili pambano linaloendelea, FIFA na UEFA wakae chini wajadiliane na hao jamaa walioushikilia mchezo wa soka kwenye mikono yao. kwangu naamini tatizo kubwa lilianzie pale waliporuhusiwa matajiri wawe na umiliki mkubwa wa hisa kwenye hivi vilabu
=========
anaandika Mohamed Bouhafsi, mmoja kati ya waandishi maarufu sana pale ufaransa na duniani kwa ujumla
Last night, when 12 big clubs of the Superleague announced resignations from ECA (association of European clubs). They also resigned from all UEFA committees and panels with Agnelli leaving the ECA management, Nasser Al-Khelaifi becomes it’s executive boss.
========

kwa nini PSG wamesusia huu mpango, nadhani ni kwa sababu hizi zifuatazo na si kwamba waarabu wao ni watu wanaofuata maadili.
  1. kombe la dunia linafanyika Qatar 2022
  2. bein sport ina hati miliki kubwa ya kuonyesha michuano ya Uefa, wamiliki wa PSG ndio wanaoishikilia bein sports
 
#mufc have resigned from the ECA and Ed Woodward has stepped down from his role on the UEFA Professional Football Strategy Council. [@samuelluckhurst]
========

kumekucha
 
Mpira unaenda kuharibika ilikuwa kucheza uefa hadi uweze kushika nafasi nzur kwenye ligi yako sasa kuna matimu yatacheza bila hofu hiyo ligi gan sasa
 
What if Premier League wakawapiga ban waliosign huo mchakato kutokushiriki ligi?..na Fifa na wenyewe wakaweka vikwazo?.

Sidhani kama itawezekana kirahisi.

Domestic Leagues zitakufa kifo cha mende.
 
#mufc have resigned from the ECA and Ed Woodward has stepped down from his role on the UEFA Professional Football Strategy Council. [@samuelluckhurst]
========

kumekucha
Glazer family na Woodward wataimaliza hii timu. Siyo ajabu wao kujiunga na hayo mashindano, deni la timu limekuwa kubwa. Hao Glazer family ni wapigaji tu.

Net debt ya United sasa hivi inasoma £455.5m. Wamarekani hao lazima watafute namna za upigaji pesa.

Ninachotamani ni UEFA na FA kupiga msumari wa moto tu, washiriki wafutwe kwenye mashindano yote ya UEFA na FA tuone sasa wakichukua hizo pesa za European Super League.

Haya mashindano yataenda kuua na kukandamiza vilabu vidogo kwenye domestic leagues, imagine mtu anakomba pesa za PL, UCL, FA CUP, CARABAO CUP na hizo za European Super League ni lazima kutakuwa hakuna uwiano.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
What if Premier League wakawapiga ban waliosign huo mchakato kutokushiriki ligi?..na Fifa na wenyewe wakaweka vikwazo?.

Sidhani kama itawezekana kirahisi.

Domestic Leagues zitakufa kifo cha mende.
Ni ngumu sana kuzipiga hizi tim ban na player wao kushiriki
Hakuna sponsor yeyote atakaekubal kuweka hela ya maana katika ligi ambayo haina top club, kwenye word cup ni ngumu kwa adidas na co kudhamini michuano ambayo haina masuperstar no messi,no ronaldo, no pogba etc

Hapa wakae mezani tu, wajadiliane bora hata iwe inafanyika baada muda flan like euro, world cup
 
Back
Top Bottom