ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Hamshuki darajaMarekani kautafuta sana mpira wa miguu kipindi cha Blatter, kaukosa.
Sasa hivi wanakuja kivingine.
Ukitaka kujua ita operate vipi Angalia ligi ya NFL Marekani, huko ndio Kina Glazer walipoanzia, ligi ambayo haina kushuka daraja, watu Wana cheza tu for fun basi.
Mpira hauitaji kuchezwa for fun kwa kweli



