Acha masikhara..Bissaka ni kitasa,kashawaweka mfukoni mawinga machachari mara kibao.Bisaka kwenye ulinzi nako ni tia maji tia maji, goli la Leo ni lake.
Hopes he stays put
Hii superleague wanataka iweje?..tofauti na UCL?
Timu kubwa Europe wanataka kuanzisha Ligi yao badala ya CL(iliyo chini ya UEFA)Hii superleague wanataka iweje?..tofauti na UCL?
hahaahaha akikujib nitagUnajisikiaje muda huu![]()
Tatizo la AWB ni mfupiAcha masikhara..Bissaka ni kitasa,kashawaweka mfukoni mawinga machachari mara kibao.