Leo hapa ndio kawa lofa kuliko hata maguire

★
Ila cavani ni offensive sana.Kwa umri wake, na mambo anayofanya daaah![]()
Natamani ile game ya city Jana, ingekuwa ni EPLGGMU, mdogo mdogo mpaka tutafika pale juu
.★Sasa hivi kafikisha mechi 3 mfululizo anafunga na bado kuna kocha tahira anampa benchi dadeq nachukizwa sana na tabia za Solskijær★
Beki za kati tu ndo zinanisikitisha kwa kweli we should go for a central defender,winger,striker
GGMU, mdogo mdogo mpaka tutafika pale juu
Bado hajafukuzwa tuWE MBULULA KWELI...HUJUI KITU KUHUSU MPIRA..pambaf
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anazurura uwanja mzima utafikiri ni kijana wa miaka 18 kumbe babuIla cavani ni offensive sana.Kwa umri wake, na mambo anayofanya daaah![]()
Ya ligi inakuja watauana wale we subiria tu...Natamani ile game ya city Jana, ingekuwa ni EPL.
Hana assist wala cross yeye kukaba tu......Nafikiri hata right fullback ni muhimu sana.Bisanka ni mzuri katika ulinzi zaidi lakini kushambulia si mzuri.
Bisaka kwenye ulinzi nako ni tia maji tia maji, goli la Leo ni lake.Nafikiri hata right fullback ni muhimu sana.Bisanka ni mzuri katika ulinzi zaidi lakini kushambulia si mzuri.