Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Jadon Sancho contemplated a move away from Borussia Dortmund last summer and could leave this summer if the right offer comes in. Sources suggest Dortmund would sell him for £86m [times]★

#GGMU


manutd |
 
Ni kweli ni heri kumuuza Eric Bailly hata kwa bei ya hasara kuliko kuishi nae kwa matumaini mfu
anachokiwaza ed woodward kinatofautiana kwa kiasi kikubwa sana na kile tunachokifikiria wengi wetu. Inaonekana dhahiri kwenye ubongo wa ed woodward sentensi kumuachia mchezaji akiwa huru haichakachuliwi hata kwa sekunde moja.

unaweza kujiuliza ni kipi kilichotushawishi mpaka phil jones akapewa kandarasi mpya?
kwa ufupi jibu rahisi hakuna ila kilichofanywa ni kujiwekea imani yenye udanganyifu ndani yake ya kwamba siku moja huu mkataba mpya wa phil jones licha ya majeruhi yake utatuzawadia japo paundi millioni 5 kutoka kwa timu fulani hata kama tutasubiria karne moja.
Ipo mifano mengineyo ya wachezaji waliopewa kandarasi mpya ili kuwazuia wasije kuondoka wakiwa huru na klabu kukosa chochote kama vile matteo darmian, ashley young na marouanne fellaini.

hivyo hivyo hata kwa eric bailly, dalot na andreas perreira na jesse lingard ndicho kitakachowakuta hapo mbeleni pindi watakapopata timu sahihi za kuendeleza career zao.
==========================
 
nje ya mada(thread):
  1. joachim low alitangaza kuachia ngazi pale germany.
  2. klopp haitaki kazi ya ujerumani
  3. marco rose amekwenda borussia dortmund
  4. tuchel yupo chelsea
  5. hans flick ameshashinda kila kitu pale bayern
  • je! hans flick atakwenda kufundisha timu ya taifa ya ujerumani?
  • je klopp atakwenda kufundisha bayern munich?
  • kama klopp atakataa je bayern munich watakwenda kwa nagelsmann?
wajerumani wanatisha🙌🙌👏
====================

Julian Nagelsmann on Lothar Matthäus claiming that he had talks with Bayern: "There were and are no talks with FC Bayern. I have no idea where Lothar got this information from. This of course also applies to my agents, there were no talks either"
=========


[Hansi Flick] to Sky Germany: "I have a contract with FC Bayern, but I always think about what's going to happen or how things will continue, whether everything is going well here and so on. My family is behind me, no matter what my decision is, whether it is at the DFB."
 
★Jadon Sancho contemplated a move away from Borussia Dortmund last summer and could leave this summer if the right offer comes in. Sources suggest Dortmund would sell him for £86m [times]★

#GGMU


manutd |
ina maana dunia nzimaa nambari saba pekee mwenye ubora aliyebakia ni huyo jadon sancho?
==============
hiyo pesa wapewe juventus paundi millioni 25 kwa ajili ya cristiano ronaldo, paundi 25 millioni nyengine apewe ya mshahara wake, naamini lile zee litatupa magoli 20 ya uhakika kupitia viungo vyake vyote vya mwili
ukata huu wa corona kutoa hela ndefu kwa chezaji la kiengereza ni zaidi ya kamari.

najua kuna watu wataniona nimechanganyikiwa.
 
nimeona taarifa zisizo rasmi zinadai ya kwamba eric bailly amekataa kuongeza mkataba ndani ya klabu na hoja yake kubwa ni kukoseshwa muda wa kutosha wa kucheza na bwana Ole, yawezekana bwana eric pamoja na wafuasi wake wanajiona wapo sahihi kwa sababu ya kujiaminisha kwao kuwa na uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza muda wowote dhidi ya mabeki wetu viongozi.

lakini tukiangalia upande wa pili wa shilingi bwana eric anajidanganya, eric anaangushwa zaidi na takwimu za kiafya ya mwili wake kuliko takwimu za kiuwezo wa kucheza soka, binafsi mimi ni mmoja wa mashabiki wanaovutiwa zaidi na uwepo wa eric bailly uwanjani kuliko harry na victor kwa pamoja lakini sikubaliani na hii hoja ya eric ya kwamba ananyimwa muda wa kucheza kwa makusudi.

kwa sasa mwili wa eric bailly umeshindwa kukubali kucheza mechi tatu mfululizo, hivyo basi anachokifanya Ole ni kumtumia eric kwa mujibu wa mwili wake, Ole hajawahi kuwa na wasiwasi na kiwango cha eric bailly
 
Klinsmann?
 
Nuno is being linked with the Tottenham job.
ukisikia kuondoa tatizo na kuleta tatizo zaidi ndio huku, kama tottenham wamechoshwa na jose mourinho eneo pekee watakalopata kocha anayeendana na soka la kileo ni bundesliga.

juzi nilibahatika kusikiliza station ya wasafi kwenye kipindi chao cha michezo cha asubuhi, nilishangazwa sana na mawazo ya george ambangile alipokuwa akishikilia msimamo wake wa kwamba jose mourinho anashindwa kufanya vizuri kama ilivyokuwa nyakati za miaka ya mwanzoni kutokana na ufinyu wa bajeti pale tottenham hotspurs.

hii ilipaswa kuwa ni hoja ya mwisho kuitaja pindi pale unapotaja sababu za kushindwa kufanya vizuri kwa jose mourinho, falsafa yake ya ufundishaji na kiuongozi inatulazimisha tuamini ya kwamba jose amepitwa na wakati na si sababu ya fedha
 
Waafrika bana hawajawahi kuwa sawa daily ni vichaa
 
Kuna kipi umekiona mkuu ?
Mkuu fixture wise ukiangalia kwa ukaribu City anahatari ya kudondosha point si chini ya 7.....naomba nipate muda nielezee kiundani hii nikihusianisha chelsea ambao wanahitaji top four (watacheza na city), brighton alifunfwa moja game ya kwanza ila city walikuwa crueless na wanahangaika sana wakicheza na brighton then everton nao walifunga 2 bila game ya kwanza ila walikuwa vizuri kwemye key areas tu.....naamini city atadondosha point na Chelsea, brighton na everton (palace na Newcastle wanaweza kutushangaza pia kwa draw)
 
Jose kwa sasa hawezi kupata tena wachezaji wanaoweza kufia uwanjani kwajili yake labda aanze nao kwenye academy ya under 12.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…