Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spurs katoka uhakika wa top 4 hamna alitakiwa kukomaa kama arsenal maana arsenal hata europa mwakani hachezi hii ni nafasi kwao waitumie vizur

Acha kujikosha wewe, pita kwanza sio unaleta ucheshi
 
Hii timu mashabiki wake wote hawana akili, yani wamejazana ujinga kwamba Bruno hakosei.. huyo bruno wenu leo ni mbovu, lakini lawama wanapewa wengine.

Wewe huujui mpira ndio maana unatoa post za kitoto ili bruno aupate mpira anahitaj utimamu wa fred na scott
 
Back
Top Bottom