Our third kit 
Hivi App gani nzuri ya kustream mpira maana hesgoal inasumbua sana siku hizi.
Mbona haina updates zozote hiiBurma tv
Hii timu haina kitu kabisa




Kwamba hili jukwaa Leo lipo kimya sio.....dah aisee nyumbu hamjiamini kiasi hicho
Oyah,mtu ume gongwa leo moja bila, badala utulie, una hangaika hangaika, uta gongwa na gali.Kwa mpira mnaopigiwa lazima muage mashindano
Oyah,mtu ume gongwa leo moja bila, badala utulie, una hangaika hangaika, uta gongwa na gali.
Viungo wa hii timu kila mech ni kupiga pasi hovyo hovyo tu fred na scott daaaa bado kunahitajika uwekezaj sehem ya kiungo
Cha ajabu unaangalia watanzania akili zao toka sayari ya peke yao![]()