Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Hakika tumeona
Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini, chini, chini)
Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini, chini, chini)
