Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiungo chetu cha Fred na McTominay bado sana..wanashine kidogo kwenye big games..hasa huyu Mctominay ndo hovyo kabisa,anapiga touchesnyingi,anamissplace pasi nyingi na ni mzito kwelikweli..Hapo bado Fernandes hajapoteza mipira kwa kujaribu difficult things..

Anyway

Welcome back Pogba..
Najiuliza mpaka leo why kovacic alikataa kujiunga united
 
Kati ya arsenal au manchester united mmoja akishindwa kubeba hilo kombe la futuhi utakuwa uzembe wa hali ya juu kwa soka wanalocheza na timu zilizopo hapo naona kabisa ni uzembe
Ngoma bado mbichi hii mkuu, uwepo wa Roma, Ajax na Villareal kwenye mashindano ni dhahiri bado tuna safari ndefu, though we're more likely kuwa Champions.

United tuna kikosi kizuri sana ila huwa tuna-struggle sana kupata matokeo yakuridhisha tunapokutana na mid-table clubs. Hao niliowa-mention hapo wanatoka competitive leagues tofauti na wengine waliobaki kwenye mashindano.

Usiwa-understimate sana, this time naomba tupite njia nyepesi, yaani tupewe kibonde: ubingwa ni muuganiko wa vitu vingi; ubora wa kikosi, bahati na aina ya opponents unaokutana nao.

Umeona kilichomkuta Spurs! Kapata weak opponent, wana kikosi kizuri (niliomba sana watolewe), wamekosa bahati.
 
Kiungo chetu cha Fred na McTominay bado sana..wanashine kidogo kwenye big games..hasa huyu Mctominay ndo hovyo kabisa,anapiga touchesnyingi,anamissplace pasi nyingi na ni mzito kwelikweli..Hapo bado Fernandes hajapoteza mipira kwa kujaribu difficult things..

Anyway

Welcome back Pogba..
Ole ana wachezaji wake watano kwenye kikosi chake ambao anawaamini kuliko kawaida.
David De Gea.
Marcus Rashford
Fred
Scot
Victor Lindelof.

Hawa ni watu ambao piga geuza Ole lazima kwenye mechi anayotaka matokeo lazima waanze.

Kwenye mechi zote ngumu Ole yuko tayari kumdrop Pogba au Bruno ila hawezi kumuondoa kikosini yeyote kati ya niliowataja kama wako fit.

Hao watu wake watano kwenye mechi zote ngumu hawajawahi kumwangusha, Fred na Scot ndiyo viumbe pekee ambao wako tayari kivunjika, miguu, na taya ili kuhakikisha yale mapazia yetu kule nyuma hayatoboki hasa lile pazia letu kuu Maguire.
 
Ngoma bado mbichi hii mkuu, uwepo wa Roma, Ajax na Villareal kwenye mashindano ni dhahiri bado tuna safari ndefu, though we're more likely kuwa Champions.

United tuna kikosi kizuri sana ila huwa tuna-struggle sana kupata matokeo yakuridhisha tunapokutana na mid-table clubs. Hao niliowa-mention hapo wanatoka competitive leagues tofauti na wengine waliobaki kwenye mashindano.

Usiwa-understimate sana, this time naomba tupite njia nyepesi, yaani tupewe kibonde: ubingwa ni muuganiko wa vitu vingi; ubora wa kikosi, bahati na aina ya opponents unaokutana nao.

Umeona kilichomkuta Spurs! Kapata weak opponent, wana kikosi kizuri (niliomba sana watolewe), wamekosa bahati.
Tusipate timu yoyote kutoka Spain
 
Mkuu nakwambia ukweli manchester united au arsenal mmoja wao akishindwa kubeba hii ndoo ni uzembe wa hali ya juu sana hamna mashindano mepesi kama haya mwaka huu
 
Manchester United x TeamViewer
5 years deal
images%20(4).jpg
 
Bye-bye Chevrolet.

TeamViewer ndiyo wataanza kukaa kwenye jersey zetu next season 2021/22. Watu wa Technology lazima wanaijua hii company.
Leta logo yao kijana..isijekuwa wanakuja kutuharibia jezi kama hawa chev..

AIG,AON, SHARP walifanya jezi zetu kuwa kali sana..yaani logo zao nyeupe zilikuwa zinablend vizuri na uzi.
 
Back
Top Bottom