Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Yamemfika shingoni View attachment 1727046
We msengesi, Leo mnatombwa live bila chenga na atletico de Madrid ! Andaa kondomu tu za kutosha mana moja itapasuka mana si kwa mtungo msuguano ambao mtakutana nao.Nyumbu kama nyumbu
Nimecheka sana hii comment, sio poa. Nimeamini shetani akizeeka hugeuka malaika.Huyu jamaa anayetukana kama teja Wa manzese mod hawamuoni kweli
ukiacha mapungufu yake sosha, ndiye kocha karejesha umoja, na falsafa ya man u, hivo sio rahisi wamuondoe, mm niwasifu mabos wa utd kumvumilia, makocha kibao waliopita walishindwa kurejesha falsafa ya utd, msimu ujao wakimuongezea watu anaenda kupigania ubingwa.Anaongezewa mkataba tena.
Kwangu mimi mwalimu mzuri wa kumpokea Ole ni Erik Ten Hag wa Ajax ni kocha ambaye anacheza mpira mzuri usio na chembe ya uoga.
Mwingine ni Gasperin wa Atalanta japo team yake huwa inaruhusu kufungwa magoli mengi sana kwa ligi ya Epl itabidi abadili mbinu.