Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ball possession ndiyo inatia matumaini lakini umaliziaji bado
PSX_20210315_000851.jpg
 
Maguire leo kacheza poa sana.

James na kupiga pasi za mwisho imekuwa mtihani..inabidi aboreshe hili otherwise speed zake hazitusaidii lolote kama hawezi kupiga pasi nzuri.

Greenwood was superb today.

Next ni Milan..Do or Die.

GGMU
 
★#mufc believe Solskjær's relationship with Erling Braut Håland and the player's talent override the issue of dealing with Mino Raiola [men]
Erling Braut Håland is believed to be demanding a weekly salary of £350,000 [men]★

#GGMU

manutd |
 
Dunia ya leo kiboko dogo anataka kupewa mshahara ambao messi na ronaldo hawana....
 
★Acha tuone kama watampa angekuwa mwingereza uwezekano kidogo ungekuwepo Napenda kukazia kidooogo sana uwezekano ungekuwepo wakupata huo mshahara★
Ronaldo joined Juventus from Real Madrid in 2018 and he's reportedly paid just over €400,000 a week.

Sorry mdau nimekosea hapo kumbe hii mbavu imemuacha mbali sana..
 
★#mufc believe Solskjær's relationship with Erling Braut Håland and the player's talent override the issue of dealing with Mino Raiola [men]
Erling Braut Håland is believed to be demanding a weekly salary of £350,000 [men]★

#GGMU

manutd |

Aisee apewe tu bruno katengeneza nafasi nyingi za kufunga kama sijakosea nafikir kama sio wa kwanza au pili barani ulaya tokea asajiliwe na hii timu tatizo umaliziaji kwa mfano jana rashford kipind cha kwanza alipata nafasi ya kufunga goli kwa kichwa bahat mbaya kaweka nje marson greenwood alipata nafasi nzur sana kipind cha pili kaenda kupigisha mwamba nimakosa madogomadogo ambayo hii timu inapata shida ila kwenye kutengeneza nafasi tupo moto sana hata tukipak basi bado tunatengeneza nafasi za hatar tu

Suala la pili ambalo naliona linaigharimu yetu kupoteza mipira hovyo tungekuwa tunapiga pasi kwa usahihi kwenda kwa walengwa tungefaidi sana

Kwa mfano jana bissaka,scott,fred,rashford,james na hata bruno wanapiga pasi kuwapelekea maadui moja kwa moja

Luke shaw anajitahidi sana kupiga pasi kwa usahihi ni mchezaj alieimarika sana mwanza nilifikir sosha anampendelea mbele ya alex lakin siku zinavyokwenda anazidi kuwa bora na bora

Maguire akicheza kama alivyocheza suala la bek kutafuta inaweza kuwa mwisho kuna madogo kwenye academy wanatakiwa kupanda juu ni kuongeza striker,winga mmoja na hata nafasi ya matic inatakiwa mtu
 
Back
Top Bottom