Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dunia ya leo kiboko dogo anataka kupewa mshahara ambao messi na ronaldo hawana....
Ni pesa ndefu sana ila as long as The people behind Manchester United ni Glazer's family, na aje tu ale pesa. Cha muhimu afanye kazi itakayomleta United.

Hii mishahara ya wachezaji ni kutoka mifukoni mwa mashabiki, humu asilimia kubwa tunaichangia hii timu kupitia TV rights (broadcasting revenue) kila msimu. Glazers hawaionei huruma hii club, mimi ni nani nisifurahie Haaland kuja United kisa atapokea £350K/week.
20210214_180304.jpg
 
Ni pesa ndefu sana ila as long as The people behind Manchester United ni Glazer's family, na aje tu ale pesa. Cha muhimu afanye kazi itakayomleta United.

Hii mishahara ya wachezaji ni kutoka mifukoni mwa mashabiki, humu asilimia kubwa tunaichangia hii timu kupitia TV rights (broadcasting revenue) kila msimu. Glazers hawaionei huruma hii club, mimi ni nani nisifurahie Haaland kuja United kisa atapokea £350K/week.View attachment 1726620

Martial 250 sancheza sijui ilikuwa 500 halafu ufungaji wa kusasua kwa nn asipewe mtu ambaye anaweza kufanya kazi kwa ufanisi lingard alikuwa kwenye 160
 
★McTominay: "Mason [Greenwood] was brilliant [against West Ham], he was top – top, top drawer. He was so direct, he was very confident, whenever he had the ball, but yeah as I say every week: 'Mason, now that’s the benchmark'."★

#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd |
 
Jamani wake zetu wapendwa kwakweli kwa jinsi vitumbua vyenu vinavyowasha kwakweli itabidi sisi tunaowamiliki humu weekend hii tuwasugue haswa hadi **** zenu zitoe mapovu, tuzichape hivyo vitumbua vyenu hadi viseme basi, mana sio kwa kutufuata huku, haswa nyie wawili nyege naona zimefikia mahala pake kwenye peak

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kocha angechagua mashindano yapi ya kukomaa nakumbuka tulianza ligi kwa kusuasua sana kwa sababu ya michezo mingi hawa wanachoka na kuumia
Fa
Carabao
europa league piga chini tu

Huko kwenye haya mashindano weka wa kina shola na mengi au brandon william
IMG_0921.jpg
 
Mkuu vp ulisema na wewe utaanza kwenda nao kwa njia hizi, vp unaweza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimenyoosha mikono hiyo spid hata 5G itakuwa ipo slow mwache awanyooshe wengine wananyimwa ugali na maharage nyumbani kwao wanakuja kutolea hasira hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa wakumuangalia sana mech iliyopita alikimbia balaa kumbe ana lengo lake

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Franck Kessié (AC Milan) in 2017: "I like the Premier League and in particular #mufc, the club I dream of playing for. Chelsea? That is also a big club, nobody would turn them down, but I dream of United."

IMG_0929.jpg
 
Nimenyoosha mikono hiyo spid hata 5G itakuwa ipo slow mwache awanyooshe wengine wananyimwa ugali na maharage nyumbani kwao wanakuja kutolea hasira hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa nilijua huwezi mkuu, huyo billions kapagawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom