Kwa iyo nina miaka mitatu ya kuandika tuKwa wale tusioridhishwa na kazi ya Ole tujiandae kwa mitatu tena pale OT.
Sababu ya kupewa mkataba mpya ni Ku restore DNA ya Manchester united kwenye kikosi chake pamoja na kucheza attacking football kitu kilichowashinda mourinho na Luis van Gaal.
Hautakuwa peke yako mkuu ze dudu.Kwa iyo nina miaka mitatu ya kuandika tu
Bado hajafukuzwa tu
Nilishaliona hili kitambo tu mdau nimebaki kumuangalia tu asubirie kufikisha 30years astaafu..Huyu Rashford kadumaa kisoka,tusitegemee miujiza,hapa ndio kamaliza kiwango chake.
Machachari lakini sio hatari. Ni aina nyingine ya Walcott,welbeck and co.