yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,403
lazima tujue ole ni kocha si mchezaji so akisha toa maelezo ni jukumu la wachezaji kufuata so wakulaumiwa ni wachezaji
walio fanya uzembeee si kocha pia jana hatukuwa na sub za maana kutokana na injured tulio nayo ya wachezaji tegemezi
hivyo lazima tukubali jana man u tumecheza ovyo sana aswa first half pia wachezaji wetu ni wachezaji wa msimu leo yupo vizuri kesho under perfomance so kama mashabiki wa man u lazima tujifunze kuishi nalo na tatizo ni
hakuna kugombea namba ndo sababu unaona wachezaji wanacheza ovyooo sanaaaa
ingekuwa rashford ana mbadala unao mtoa jasho kwa kumweka bench angepambana au martrl so
tuombe dogo adam awe wamoto sana amweke martial bench then tuendele ku deal na rash ford
vard de berk angepata mech xa mara kwa mara pogga au fred au matic tungemsahau
all in all GGGM

★
★
★