Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mwisho wa siku tunakosa vyoote, na kwa namna EPL ilivokaa tukiporomoka maana tunaenda kuchezea kwenye nafas ambazo hata europa hatutaiona.

Kabisa hilo ndilo ninaloliaona kocha hana kipaumbele kabisa manchester united sio timu ya kukaaa ku prove kwa watu carabao na europa angetia akilini hilo mourinho alikuwa na machaguo nakumbuka baada ya kuona hana nafasi ya kuingia top 4 mwaka wake akatamka kabisa njia rahisi ni kubeba europa ili kwenda kwenye mashindano ya ulaya na alifanya hivyo
 
Mkuu mm kila siku nasema kipaumbele kingekuwa ni mech za ligi kuu tu huku kungine kuongeza majeruh martial tayar kaumia europa anapigania la nn kila siku naongea hilo europa,carabo na fa havina maana ndio maana unaona hata sir alex hana rekod za hayo makombe aliweka msukumo kwenye ligi tu
"sizitaki mbichi hizi" kauli za kushndwaligi ipi mtayopambania nyie pundamlia
 
Kuanzia dakika ya 73 timu imecheza na mabeki 5 viungo wa kukaba 3. Wachezaji pekee wa ushambulizi walikuwa wawili tu Mason na Amad. Kwa dakika 20 tumecheza kwa kujilinda zaidi sikushtuka waliposawazisha.
atleast tungekuwa tunaongoza goli zaidi ya moja,
ila kigoli kimoja ndo cha kulinda kweli, afu sio leo tuu hii timu sasa haiaminiki, mtu unaondoka dk ya 90 ila kesho unakuja ambiwa mlitoa suluhu,
 
"sizitaki mbichi hizi" kauli za kushndwaligi ipi mtayopambania nyie pundamlia

Pengine mgeni humu ww kuna post zangu kibao humu kocha makin anakuwa na vipaumbele ligi iko wapi ngumu? Hii timu umeangusha point nyingi kwenye timu za kuanzia nafasi ya 10 kuna ligi ngumu hapo ambayo kocha angeamua kuwa na kipaumbele angeshindwa? Mgumu mwaka jana alikuwa liverpool ila kwa mwaka huu ligi ilikuwa wazi
 
atleast tungekuwa tunaongoza goli zaidi ya moja,
ila kigoli kimoja ndo cha kulinda kweli, afu sio leo tuu hii timu sasa haiaminiki, mtu unaondoka dk ya 90 ila kesho unakuja ambiwa mlitoa suluhu,
Game management skills kwa Ole ipo chini sana. Huwa hajiulizi kwa nini tukicheza defensively timu inakua dhaifu?

Hakupaswa kuwa na Fred uwanjani wakati una Scott na Nemanja tayari. Pia sikuona ulazima wa kuwa na Alex Telles na Luke Shaw kwa wakati mmoja ilihali unaongoza kwa margin ya goli moja.
 
Maguire, Bailly, Shaw, Telles, Williams, Fred, Tominay, Matic wachezaji nane wa sehemu ya ulinzi na bado haitoshi mtu karuka peke yake na kafunga goli
 
Game management skills kwa Ole ipo chini sana. Huwa hajiulizi kwa nini tukicheza defensively timu inakua dhaifu?
sosha hata apewe nan management skills yake ni mbovu and kachangia sana kushuka kwa performance za wachezaj kwa kuwa misposition mfano naona alianza jichanganya kwa dialo kumuweka winga ya kushoto wakat si position yake, kumtumia martial kama winga, kuswitch mara leo rashid 9 kesho winga ya kulia keshokutwa kushoto etc
 
Hapo hatujafungwa vivimba macho vinatoa maneno utajua ukubwa wa hili li timu viwatu vinavutika toka machakani mbona jumapili hamkutokea hapa kusema man city kapiga mpira
Nguvu zote mnakuja kumalizia kwa city ,Milan anakuja kuwapelekea moto hapo OT

Nguvu ya soda tu

Man utd sio timu ni genge LA wahuni

Westahm anakuja kuwapelekea moto mwingine mkali
 
Nguvu zote mnakuja kumalizia kwa city ,Milan anakuja kuwapelekea moto hapo OT

Nguvu ya soda tu

Man utd sio timu ni genge LA wahuni

Westahm anakuja kuwapelekea moto mwingine mkali

Mtu mwenye akili anajua tu timu yetu mech za nyumban hajafanya vizur mech za away ni mwiba city hamna tulipotumia nguvu ac milan hajashinda city kapigwa kwa ulaini sana kashinda mech 23 kipigwa kwa ubua na king wa away
 
Wachezaji wanaotumia left leg leo walikuwa kama wote pale utd.

Shaw
Telles
Fred
Matic
Diallo
Greenwood
 
Usisahau kumeza pain killer kabla ya kulala
Wewe ndio umeupata huoni kilehele chako kimekuleta kwenye thread na kujibu post za wanaume? Utaendelea kukalishwa kwenye chupa mtu mwenye shobo hiyo dawa yake
 
Back
Top Bottom