The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Dogo Diallo ndiye pekee nmeona amehuzunika sn ila wengine wote wakiongozwa na kocha wanachukulia poa tu.
Sawa.
Acha ushabiki maandazi, Milan wamecheza vizuri mno tena wamewazidi mbali mno. Tena kwa mchezaji mmoja mmoja ndio hatari madogo wanachezea mpira ni hatari, yaani unatamani mda wote wawe na mpira uone udambwi udambwi
n kawaida yao washazoea kutokushnda bila kupata penatDogo Diallo ndiye pekee nmeona amehuzunika sn ila wengine wote wakiongozwa na kocha wanachukulia poa tu.



nyumbu n nyumbu2Magoli ya style hii huwa yanakera sana, yanaharibu usingizi ni bora mfungwe mapema mjue mmefungwa.
Ushabiki maandazi wa baba yako nini anayokununulia kwenu? Wewe unaumia na nini sasa mimi nikiwa shabiki maandazi? Kuna kitu unataka kujifunza kupitia post zangu? Zinakukera pita kishoto tafuta zinazokufurahisha nikikwambia ac milan wamecheza mpira unaongeza miaka ya kuishi duniani? Unapenda kusikia yanayokufurahisha ili uishi duniani maika mingi
Kalia chupa mzee baba, pole sana hiyo ni sare tu na uko na hasira hivyo je, ungefugwa!??
Kama ulivyokalia huko kwenu muda huu mbona jumapili hukuja na hiyo pumba yako ya kwamba city kacheza mpira? Au macho yalitoboka nini?
makosa ya OGS leo
1.unamtoa kiungo mchezeshaji (bruno) unaingiza kiungo mkabaji (fred) wakati matic ilitakiwa ndo atoke aingie fred
2.luke shaw kwa sabab tuu mechi ya man city alicheza kwa mfumo wa kupandisha timu na kuinitiate shambulizi bhas OGS kaona hata left wing itamfaa, so leo kaona shawa na telles wote wacheze pamoja,
3.bisaka sijaliona kosa lake kwa leo though nimeona mara nyingi bailly akishuka upande wa AWN kusaidia ila haikuwa sub ya muhimu may be labda ni maandalizi kwa mech ya WHU,
IN SHORT OGS hana mbinu ni kama bado anafanya majaribio na tunaweza sema bado hajajua anatafuta first 11 ya aina gani na ukizingatia anashindwa kutumia mifumo mingine zaid ya huu wa 4-2-3-1 kutokana na uhaba wa strikersView attachment 1723182
Mkuu handball na offside ni magoli?
naongelea kuhusu pafomansi ya timu zote mbili mkuu wametuacha kwa kila kitu kasoro goalsMkuu handball na offside ni magoli?
Meza dawa za maumivu aisee
naongelea kuhusu pafomansi ya timu zote mbili mkuu wametuacha kwa kila kitu kasoro goals
mwisho wa siku tunakosa vyoote, na kwa namna EPL ilivokaa tukiporomoka maana tunaenda kuchezea kwenye nafas ambazo hata europa hatutaiona.Mkuu mm kila siku nasema kipaumbele kingekuwa ni mech za ligi kuu tu huku kungine kuongeza majeruh martial tayar kaumia europa anapigania la nn kila siku naongea hilo europa,carabo na fa havina maana ndio maana unaona hata sir alex hana rekod za hayo makombe aliweka msukumo kwenye ligi tu
Wewe ndio unatakiwa upewe maana toka jumapili unaishi kwa mateso sasa kwa akili yako unafikir droo imetuumiza wewe endele kupamba na hali yako hapa ukija na vishobo vyako utaambulia zero
Kuanzia dakika ya 73 timu imecheza na mabeki 5 viungo wa kukaba 3. Wachezaji pekee wa ushambulizi walikuwa wawili tu Mason na Amad.Timu yetu ni wazembe sn kwenye marking hasa zinapopigwa kona yn mara nyingi huu usenge umekuwepo na it seems km dawa imekosekana.