TuliaUtopolo mtupu..hata kupiga tu pasi za macho hatuwezi
TuliaUtopolo mtupu..hata kupiga tu pasi za macho hatuwezi
Man u wazeee wa kakamia gameYanajua kukamaa tu city ..
Europa out ....
Ule uzi nimeukimbia toka unaanzaSema mkuu kwenye ule uzi wako wa siasa kule unatumia misamiati migumu sn mkuu ningependa kujifunza cku moja![]()
James kafaulu???OGS anajua kuchagua wachezaj wanaoendana na mfumo wake na hamna mchezaj hata mmoja alitefel tangu amsajili, haina maana mchezaj anayependwa na Gurdiola basi ndio ataperform kweny mfumo wetu, kila kocha anachagua mchezaj kulingana na mfumo wake
Anafnya uchawi huyu mtotoDialloo loooooo
Anafnya uchawi huyu mtoto
Ina maana carrick anakula mshahara wa bure.....Hii timu hamna kocha wa viungo upigaji wa pasi ni wa hovyo sana
Ngoja tumuanglie vizurAcha lile goli daaa
Ina maana carrick anakula mshahara wa bure.....