Ss rashford ametukosesha goli nyingi sn za hivyo, utakuta yeye amebanwa lkn nafasi ya kutoa pasi mwenzie afunge anayo ila hafanyi hivyo ndio maana huwa tunamsema sn.

Hata mm rashford huwa namsema sana kwenye kukosa goli za wazi ila ule upande wa kushoto wanaelewana vizur sana na shaw kitu ambacho huku kwa bissaka bado hajapata mtu wa kumsaidia