Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,480
Ukitoa Atletico Madrid City wapo on form msimu huu kuliko timu yoyote. There is no shame ya sisi kuwa nafasi ya pili, so far tupo ndani ya expectation zetu msimu huu, hio nafasi ya kwanza tulikuwa tuna over achieve.Ushindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.
Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?
Kama kipaji cha kujitetea tu unacho we mdau......Ukitoa Atletico Madrid City wapo on form msimu huu kuliko timu yoyote. There is no shame ya sisi kuwa nafasi ya pili, so far tupo ndani ya expectation zetu msimu huu, hio nafasi ya kwanza tulikuwa tuna over achieve.
Na Nyie vipaji vya kukosoa Pia mnavyo,Kama kipaji cha kujitetea tu unacho we mdau......
Atakupa na statistics kabisa akufunge mdomoKama kipaji cha kujitetea tu unacho we mdau......
Ushindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.
Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?
Martial anayo maajabu mengi ila ndiyo hivyo yamefichwa na uvivu na small mentality. Nakumbuka kuna siku Jose aliwahi kusema kuwa ana-wish Martial aje kucheza walau nusu tu ya potential aliyonayo.Ni heri wafanye hivyo badala ya kuendelea kutegemea Anthony Martial afanye maajabu asiyokuwa nayo.
Chief Mkwawa
Mijadala ya kuponda mie huwezi niona humu ila nachotaka aende tu alipotufikisha inatosha sasa karudisha umoja na mshikamano ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ila linapokuja suala la ubingwa hajakaa kabisa kiubingwa.....Na Nyie vipaji vya kukosoa Pia mnavyo,
Mwanzo wa msimu niliweka comments kibao za expectation za msimu huu, na expectation za fan yoyote anaelewa ni sisi kuchallenge ubingwa na si kuchukua, ingekuwa ni vyema tungebeba tungekuwa tume over achieve Ila Pia kuchallenge ubingwa na Kupunguza gape la point na wa juu yetu Pia ni achievement kubwa kwetu.
Wakati ule tuna fanya vibaya nikiweka hizi comments wengi wenu mulikuwa mkipinga na kuponda timu haina uwezo, sasa hivi timu ipo nafasi ya pili bado mna tafuta sababu za kuponda vile vile sababu kukosoa nayo ni proffesion vile vile.
Anyway ukitaka nifukue makaburi ya comments za mwanzo Pia nitakuekea.
HaweziAtakupa na statistics kabisa akufunge mdomo
Kwa kocha mpya kuja na kufika nusu fainali hio Pia ni achievement, Ole akiingia top 4 msimu huu atakuwa ni kocha wa kwanza kuingia top 4 back to back toka Fergie astaafu.Mijadala ya kuponda mie huwezi niona humu ila nachotaka aende tu alipotufikisha inatosha sasa karudisha umoja na mshikamano ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ila linapokuja suala la ubingwa hajakaa kabisa kiubingwa.....
Nusu fainali nne out angekua mou ni kocha tunaongea mengine hapa....
Ndio maana nataka aende alipotufikisha panatosha hana tena maajabu......kwa sasa ni bahati tu ndio anayoisubiriaKwa kocha mpya kuja na kufika nusu fainali hio Pia ni achievement, Ole akiingia top 4 msimu huu atakuwa ni kocha wa kwanza kuingia top 4 back to back toka Fergie astaafu.
Niliwahi kusema huko nyuma na nitasema Tena sasa hivi hata Ole asipo chukua ubingwa bado atakuwa ni successfull na atatuacha eneo zuri ili mwengine apokee kijiti.
Jamaa ametatua almost 90% ya matatizo yote ya zamani na sasa hivi tunaanza ku dream Tena.
Unfortunately wewe ni katika minority, majority ya mashabiki wa man U bado wanamuhitaji na board Pia inamuhitaji.Ndio maana nataka aende alipotufikisha panatosha hana tena maajabu......kwa sasa ni bahati tu ndio anayoisubiria
Arsenal na spurs ni Top 6? Au unazungumzia History? Mnakalili sana, Top 6 ninayoijua mm ni hiyo hapo
vipi zile bukta za jezi zilifelishwa?GGMU..
Leo tunavaa uzi wetu wa "pundamilia"
Zile picha zilikuwa za kimbea tu...vipi zile bukta za jezi zilifelishwa?