Mkuu achana na haya manyumbu ..nimeyauliza je unaweza kuifunga Soton, yanaanza kuleta matokeo ya ajabu ajabu wakati mpira wenyewe ulikuwa wa hovyo hovyo tu..
Nyumbu ni Nyumbu tu hawezi kuwa nyati..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha kama maradona duuuu!Nimetoka insta page yetu duuh diallo sidhani kama atafikisha miaka sita pale....
Dogo kama maradona tutamuuza kama tulivyouza ronaldo
Kocha siyo sahihi hivyo atafubaa tu. Hata Bruno akiendelea chini ya kocha huyu hatokuja kupata Ballon d'orNimetoka insta page yetu duuh diallo sidhani kama atafikisha miaka sita pale....
Dogo kama maradona tutamuuza kama tulivyouza ronaldo
Matchday:::: United vs Newcastle
Game kama hizi ni za kushinda comfortably huku tuki-enjoy pira biriani,lakini utashangaa tunaanza ujinga ujinga tena.
====
My Starting XI would be;
====
Henderson
AWB Bailly Maguire Shaw
Fred Matic
Greenwood Fernandes Rashford
Martial
=====
✓Najua Socha atarudi na De Gea pamoja na LINDELOF pale nyuma.
✓CAVANI kama atakuwa 100pc fit basi aanze nafasi ya MARTIAL..if not,MARTIAL aanze
✓Maliza game mapema ili young stars kama AMAD wapate nafasi ya kucheza kwa dakika chache kiasi.
GGMU
James games zilizomalizika ndo mzuri,Mfano ushashinda tatu n.k..game kama hii atapotea..hatuwezi kumweka nje Greenwood ili James aanze.Kama wakienda na ile mentality ya mech iliyopita ya europa tutafanya vizur
Kocha anatakiwa de gea na lindelof aendelee kuwapa mapumziko
Rashford na kukosa sana magoli anatakiwa kuwepo uwanjan yy na james mech iliyopita walifanya vizur sana wote wana spid
Huyu mtu anabidi atue hapa haraka sana.Kifaa hicho View attachment 1707933
Wahangaike na huyu co Sancho, mbele kuna wapuuzi wengi pale, wamlete aje awafundishe jinc ya kufunga.Kifaa hicho View attachment 1707933