Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Defining moment of the game...De Gea has grown to be a world class goalie...the best in the league...he deserves the number spot in Spain...
Defining moment of the game...De Gea has grown to be a world class goalie...the best in the league...he deserves the number spot in Spain...
Ulimi nje leo. Ushindi wa kindondokela. Meli inaanza kuzama hii, mabaharia feki wa Part Time muda wa kuchumpa umefika Mechi 7 Win 3, Draw 1, kufungwa 3.
pepe reina tu hamfikii msilete ndoto zenu hapa!
Huyo labda wazeeke wastaafu hawa waliopo reina,casilas,valds lakini kwa sasa hata vito manone ni mzuri zaidi yake
Adnan Januzaj atakuwa zaidi ya Ryan Giggs, C. Ronaldo na Gareth Bale. Time will tell
View attachment 115369
....MTAZOEA TU hizi roller coaster rides, jana a 12th place team won against a 20th place "struggling-managerless" team, halafu mna celebrate na kufungua champagne?!
Ama nyie mmefulia mwaka huu,
Anyway,.....hata Everton ilikuwa hivyo hivyo...
MTAZOEA TU!
Cc, Viper, Wacha1, BAK
Bcc Nzi Belo
pepe reina tu hamfikii msilete ndoto zenu hapa!
Huyo labda wazeeke wastaafu hawa waliopo reina,casilas,valds lakini kwa sasa hata vito manone ni mzuri zaidi yake
Duuh! De Gea Amekuwa the best in the league baada ya kushinda vs S'land!!
Hahahahahahahaha. Nadhani vs man city alikuwa the best player of the match kama kuishinda tu timu iliyopo mkian amekuwa the best in the league!!!