Moyes has not yet told the man u winning secret,just to pay the referee
Congrats guys!
Hahahahaha LOL! nilijua tu lazima utasema hili...Angalia rekodi yangu ya nyuma, huwa siachi kutoa updates kwa sababu tu timu ninayotaka ifungwe imeshinda bali nilikuwa na wageni na si ustaarabu kuwaacha wageni wangu na kuendelea kuweko huku. BelindaJacob & Co hongereni kwa ushindi huu mnono angalau weekend hii mnaweza kukenua kwa raha zenu 🙂🙂