Mbu humu baridi tu...kule kwenu joto linazidi kupanda...jana
BAK hakuendelea kutoa updates, sijui alikuwa na wageni na jana?!?
Wacha1 makelele alianza kusema WBA wana nguvu ya soda, oh, kuna goli 2 za Goons, oh, tutachukua points 3 zetu za muhimu.
Mara boooomm!! Wakaanza kulalama eti refa amewaminya!! Nikawaambia, karma is a bitch...wao walibebwa na uamuzi wa kijinga wa refa kukutaa goli la Jozy wa Sunderland..hilo wamelisahau....
Wakaanza kudai kwamba wanahitaji dirty midfielder!! Nikashangaa, inamaana Nemo a.k.a Dozil hawafai mara hii!!? Au kwa kuwa alifunikwa bovu na Mulumbu?!?
Hiyo ni droo tu...mkipigwa nyiye mtaanza kumkana Arsene Chenga....jana social media zote kulikuwa tuli...Goons walinywea hao..siku mkipigwa kutatokea shutting down ya servers..