Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Mkuu ubarikiweMan u vs Real check live >> glive
Mkuu ubarikiweMan u vs Real check live >> glive




Kuna maana gani ya kung'ang'ania top 4 wakati hatufanyi vzr kwenye hiyo michuano??10 points clear..tumeshaachwa vibaya sana.
Tupambane tu sasa tusitoke nje ya top four..maana mwisho wa msimu tunaweza kujikuta tunacheza Europa League tena next season.
Matchday pia leo..vs Real Sociadad.hizi timu za Spain huwa zinatutesa sana na mpira wetu huu wa kuunga unga..Anyway,let's wait baadae.
Utamsajili mchezaji gani wa maana next season huku uko ligi wa wakata majani(Europa)?Kuna maana gani ya kung'ang'ania top 4 wakati hatufanyi vzr kwenye hiyo michuano??
Dstv hawaonyeshi ligi ya wakata majani..startimes world football ndo wanaonyesha.Hii game inaoneshwa chaneli ipi kwa dstv
Dstv hawaonyeshi ligi ya wakata majani..startimes world football ndo wanaonyesha.


Msim ujao wanaanza kuonyeshaDstv hawaonyeshi ligi ya wakata majani..startimes world football ndo wanaonyesha.
Bora maana ving'amuzi kibao mpaka kero....Msim ujao wanaanza kuonyesha