Japokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.
Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.
Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).
Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.