Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Japokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.

Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.

Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).

Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
 
Hahaha angalia huyu takataka. Wakati wewe unashinda zote siyo..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Japokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.

Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.

Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).

Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
Man utd hana uwezo wa kushinda match 5 mfululizo kwa sasa

City kupoteza game kwa sasa sidhan ,labda draw

City tulishawahi kukimbizana na Liverpool zilikuwa zimebaki game 14 kwa point moja moja ,ilikuwa ni mwendo wa kutembeza kipigo kila Mtu tunayekutana nae nakumbuka katika game ngumu ambazo Liverpool walijua tutadrop ni

Against man utd(OT) na lecister city ila tuliwapa kipondo hapo OT( 2-0 ),kampany aliwasha risasi moja lile goli halitasahaulika against lecistercity na ubingwa ukawa umatua etihad ,Liverpool waliishia kutoa macho hahaaa....

Sembuse nyie nyumbu point 5 bado tunagame mkononi hahaaaa,mbaya zaidi man utd hana uhakika na point 3 hata akiwa anacheza na ihefu fc
 
Japokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.

Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.

Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).

Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
Kuanzia sasa Ole na wachezaji inabidi wafanye firing ya hatari..tofauti na hapo mwisho wa msimu tutashika tu tama na hatutoona improvement yoyote ya maana bila trophy..na position ya Ole itabidi iwe questioned

✓FA CUP

✓Europa League

✓EPL(inabidi tuende bamba to bamba mpaka mwisho tuone tutakuwa nafasi gani)
 
Ole huyu huyu naemjua mimi...

Nipo hapa kusubiri afukuzwe tu
 
Kuanzia sasa Ole na wachezaji inabidi wafanye firing ya hatari..tofauti na hapo mwisho wa msimu tutashika tu tama na hatutoona improvement yoyote ya maana bila trophy..na position ya Ole itabidi iwe questioned

✓FA CUP

✓Europa League

✓EPL(inabidi tuende bamba to bamba mpaka mwisho tuone tutakuwa nafasi gani)
Labda izi game zote ziwe za ugenini
 
Liverpool autema ubingwa leo anaweza kujikuta baada ya Manchester City kucheza kaachwa point 13
PSX_20210213_174854.jpg
 
Back
Top Bottom