Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hebu mtu hapa ampigie simu OGS amtoe Martial. Mpaka Bruno anacheka mwenyewe. Anampigia mipira anashindwa kuikimbilia inatoka nje. pambaf sana.
Mmmh
VDB is likeable kind of those guysHii kitu kumbe imewasha moto vibaya mno mtandaoniView attachment 1699946
Vyombo vya habari vitaitumia sana hii picha kuvuruga hata utulivu kidogo alionao dogo.Hii kitu kumbe imewasha moto vibaya mno mtandaoniView attachment 1699946
Sure.Vyombo vya habari vitaitumia sana hii picha kuvuruga hata utulivu kidogo alionao dogo.
Mchezaji bado hajazoea mazingira halafu siyo kwamba amekuwa flop ni kwamba aina ya uchezaji wa United bado unampa tabu sana.Sure.
naona fainali na chelsea au city alafu tunafungwa tena
Tuchel kombe lake la kwanza hili ..Lampard alishindwa hadi na arteta
Binaadam bhana!naona fainali na chelsea au city alafu tunafungwa tena
Tuchel kombe lake la kwanza hili ..Lampard alishindwa hadi na arteta
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
man u naijua tokea 1995 ila historia yote naijua mi ni mkerekwetwa namba moja wa manBinaadam bhana!
Unataka tukifungwa ujifanye "si nili sema mie"
Mashabiki wenzangu wengine munazingua.
NB: inabidi tujiwekee utaratibu wa, kila mgeni akiingia humu (shabiki mwenzetu mpya) ajitambulishe,
Ana umri gani?
Ameanza kuishabikia Manchester United mwaka gani?
Ana uwelewa gani na maswala ya soccer?
Hiyo itapunguza kusumbuana vichwa.
Kwahiyo we umejuaje kama tutafungwa na Chelsea ama City?man u naijua tokea 1995 ila historia yote naijua mi ni mkerekwetwa namba moja wa man
u ndo sababu nasemaga tukishinda na kushindwa yatupsa kufurai