Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wote hao walianza kutoka kwa mourinho
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Mchezaji pekee aliyepewa senior debut na Mourinho ni Scot na Tuanzebe tu kwa walioko kikosini.

Kama una chuki binafsi na Ole mchukie tu lakini hakuondoi ukweli kwamba amewaibua Mason na Brandon William's na kuwapa senior debuts.

Halafu angalia records za Rashford na Martial chini ya Mourinho ulinganishe na records zao chini ya Ole ni mbingu na ardhi.
 
Sosha anapita njia za wenzie
 
Kwa nn kwenye mijadala unapenda kusema chuki wakati watu wanatoa maoni yao? Hivi kukosoa au kuuliza ni chuki?
 
Hakumpa hata nafasi ya kwenda nae kwenye tour halafu unasema amemuibua ?

Halafu mchezaji yupo kwenye academy ya timu whatever manager lazima angemtoa nafasi provided ana kipaji

Tayar alimpromoti kuja timu ya wakubwa akafukuzwa kazi ina maana hapo huoni?
 
Kwa nn kwenye mijadala unapenda kusema chuki wakati watu wanatoa maoni yao? Hivi kukosoa au kuuliza ni chuki?
Yes kama unashindwa kuappreciate hata mafanikio madogo obvious ya mwalimu unakuwa na chuki binafsi nae tu.
 
Mmm we jamaa bana huko nyuma mbona kuna post kibao za namna sosha alivyojitahidi kuunganisha timu kwa hiyo unataka kusikia unachopenda ww?
 
Yes kama unashindwa kuappreciate hata mafanikio madogo obvious ya mwalimu unakuwa na chuki binafsi nae tu.

Halafu nimechukuie sosha wa nini mm? Ana impact gan kwenye maisha yangu jana hivyo hivyo unaniambia namchukia rashford nimekuletea mashabik wa united duniani wanavyomaindi kwenye page ya united
 
Hatuzungumzii maisha yako binafsi tunazungumzia Manchester United
 
Na ndio maana manchester united ikifanya vibaya nasema wakiharibu naponda sina chuki na mtu ambae hana impact ktk mzunguko wangu wa maisha
 
Jose anauwaje mchezaj wa miaka 20? hazard?ronaldo? Etoo? Zlatan? Drogba hao mbona hawakufa? Ni kwa uchache tu
tokea jose aondoke realmadrid Ronaldo alibaki kufunga magoli tu, take ons hazikuwepo. 1 v 1, ronaldo anatafuta goli sio apige chenga ili akafunge kwa urahisi
 
Mkuu hayo mambo yapo kwa mess tu ronaldo na 1 v 1 wap na wap
 
Donny van de beek kapoteza kabisa hali ya kujiamini jana ubao wa kubadilisha wachezaj uliposhikwa naona macho yote anaangalia kibao tu anajua lazima atolewe tu kuna wachezaj wanacheza hovyo sana kwenye hii timu wanamaliza dakika 90 wanavumiliwa had wanarudi kwenye viwango vyao watu mnamshambulia sana huyu dogo kasajiliwa kwa hela nyingi kisha anakaa bench anapataje confidence?

Mwingine anakwambia hapa tumepigwa kacheza mech ngap dakika 90 kama wale wakosa magoli wanavyochezeshwa? Bruno kiungo ana goli nyingi kuwashinda ma striker

Huyo dogo akipata kocha sahihi hata ule muda anaupata atafanya makubwa.

Sosha ni kocha wetu na tunampenda ila madogo wengi kashindwa kuwaongoza kuja kwenye timu ya wakubwa toka kwenye academy ya hii timu wengi wametolewa na van gaal na mourinho tusahihishane hapo yupi kinda katolewa na sosha?
Hakuna
 
Back
Top Bottom