Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hebu mtu hapa ampigie simu OGS amtoe Martial. Mpaka Bruno anacheka mwenyewe. Anampigia mipira anashindwa kuikimbilia inatoka nje. pambaf sana.
Uyo hatukupigwa, ana kipaji kikubwa ila mzembe na haitofika kiwango kilichotarajiwa.
 
Hebu mtu hapa ampigie simu OGS amtoe Martial. Mpaka Bruno anacheka mwenyewe. Anampigia mipira anashindwa kuikimbilia inatoka nje. pambaf sana.

Leo martial ana mech nzur sana west ham wangefunga goli kipindi cha kwanza bila martial kwenda kuruka kichwa mpira wa kona had muda huu tungekuwa tumetolewa mfungaji angekuwa Diop.
 
Back
Top Bottom