Hellen Jr
JF-Expert Member
- May 10, 2018
- 303
- 639
Safi sana Martial maana ungefunga ungewapa watu cha kusema, bora umekosa.


ilibaki kidogo tuuSent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Safi sana Martial maana ungefunga ungewapa watu cha kusema, bora umekosa.


ilibaki kidogo tuuKiukweli Martial muda wa kutafuta changamoto sehemu nyingine nadhan umefikaSafi sana Martial maana ungefunga ungewapa watu cha kusema, bora umekosa.
VdB anacheza vizuri?..DuuhKwnz vdb anacheza vzr sn co mbinafsi km haya matoto mawili, alafu wakuu nakumbusha tu kwamba Maguire tulipigwa.
Ungeletewa statistics kwamba ktk FA yeye ndiye anaongoza kufunga pale utd akiikaribia record ya boby charton, watu nyieeSafi sana Martial maana ungefunga ungewapa watu cha kusema, bora umekosa.






Sawa.VdB anacheza vizuri?..Duuh
Jamaa hamna kitu so far..kuna madogo kibao U23 tukiwaweka kati pale pasi moja moja zile mbona watapiga sana..tunataka creativity..
VdB tumpe muda ila so far kachemka hasa nafasi anayocheza na anachopaswa kufanya




Ndio mashabiki wa bongo walivyo....Watu wana haraka mnoo.



Ndio unajua leo mdau....Kwnz vdb anacheza vzr sn co mbinafsi km haya matoto mawili, alafu wakuu nakumbusha tu kwamba Maguire tulipigwa.
Hata we we sasa hivi ukienda kulala na dada yako ukampa bao LA tabu sana , lakini lazima litazaa mimba tu hata kama umechukua dakika 100+ kumkojolea
Una chuki binafsi na Rashford, ulitaka Van De Beek acheze nafasi ya Rashford ?
Donny van de beek kapoteza kabisa hali ya kujiamini jana ubao wa kubadilisha wachezaj uliposhikwa naona macho yote anaangalia kibao tu anajua lazima atolewe tu kuna wachezaj wanacheza hovyo sana kwenye hii timu wanamaliza dakika 90 wanavumiliwa had wanarudi kwenye viwango vyao watu mnamshambulia sana huyu dogo kasajiliwa kwa hela nyingi kisha anakaa bench anapataje confidence?
Mwingine anakwambia hapa tumepigwa kacheza mech ngap dakika 90 kama wale wakosa magoli wanavyochezeshwa? Bruno kiungo ana goli nyingi kuwashinda ma striker
Huyo dogo akipata kocha sahihi hata ule muda anaupata atafanya makubwa.
Sosha ni kocha wetu na tunampenda ila madogo wengi kashindwa kuwaongoza kuja kwenye timu ya wakubwa toka kwenye academy ya hii timu wengi wametolewa na van gaal na mourinho tusahihishane hapo yupi kinda katolewa na sosha?