Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mahali nilisoma na niliipenda hii comment:

VDB ni young aliyekuja kwenye nchi nyingine kwa mara ya kwanza anadopt culture ya nchi ngeni kwake including football style.

Timu aliyotoka walikua wanapga short pass alafu ni one two kind of one touch.

Man utd ni long pass lazima apewe muda ku adopt.

Fred alivumiliwa na hata huyu dogo apewe muda.

Point mkuu kwa sasa fred ni mchezaj muhimu sana
 
Donny van de beek kapoteza kabisa hali ya kujiamini jana ubao wa kubadilisha wachezaj uliposhikwa naona macho yote anaangalia kibao tu anajua lazima atolewe tu kuna wachezaj wanacheza hovyo sana kwenye hii timu wanamaliza dakika 90 wanavumiliwa had wanarudi kwenye viwango vyao watu mnamshambulia sana huyu dogo kasajiliwa kwa hela nyingi kisha anakaa bench anapataje confidence?

Mwingine anakwambia hapa tumepigwa kacheza mech ngap dakika 90 kama wale wakosa magoli wanavyochezeshwa? Bruno kiungo ana goli nyingi kuwashinda ma striker

Huyo dogo akipata kocha sahihi hata ule muda anaupata atafanya makubwa.

Sosha ni kocha wetu na tunampenda ila madogo wengi kashindwa kuwaongoza kuja kwenye timu ya wakubwa toka kwenye academy ya hii timu wengi wametolewa na van gaal na mourinho tusahihishane hapo yupi kinda katolewa na sosha?
hajaleta madogo wengi kutoka academy kwasababu wengi wana uwezo wa kawaida. Angalia kina Gomes, Chong wote wa kawaida sana. Imebidi ameanza kufanya usajili yeye mwenyewe binafsi ( Mejbri, Pellistri, Diallo). Usajili wa Academy ulikua wa kawaida, ila sasa nguvu kubwa ndo imewekwa huko ili hata kama mchezaji ni mgeni ajifunze utamaduni akiwa toka academy. Mwakani kutakua na wachezaji wengi toka u23. Huyo VDB yupo kama itatokea Bruno kaumia au hawezi kucheza kwa namna nyingine, maana yake kama Bruno ataumia bila VDB hatuna mwingine wa kucheza 10. Kama shabiki wa united, furahi kuwa na backup 10.
 
Unaamini asipokuwepo bruno DVB anaziba nafasi? Uliona mech ya jana basi ktk watu ambao hawakujua wanafanya nini uwanjani DVB ni mmoja wao hii ni kutokana na bench la maana
 
aliyeua confidence ya Rashford kudribble ni Mourinho, mechi ya Arsenal Ole akawa anamwambia Rashford ( ... take him on, he can't defend) ili kumpa confidence. Bado kijana inawezekana akapata confidence yake tena.

Mourinho hajaua hiyo kitu mkuu mwaka jana alikuwa vizur sana yeye na martial ina maana unataka kuniambia last season alikuwa anabahatisha mwaka huu karudi kwa mourinho?
 
Unaamini asipokuwepo bruno DVB anaziba nafasi? Uliona mech ya jana basi ktk watu ambao hawakujua wanafanya nini uwanjani DVB ni mmoja wao hii ni kutokana na bench la maana
hata ile mechi ya saints alivyoingia hakufanya kitu, ila ndo nafasi anayoenda kuziba kwasababu hata 10 akicheza vibaya timu bado inaweza kushinda, Bruno tokea mwaka huu uanze hajacheza vizuri lakini bado matokeo tunapata
 
Daaaa
 
Mourinho hajaua hiyo kitu mkuu mwaka jana alikuwa vizur sana yeye na martial ina maana unataka kuniambia last season alikuwa anabahatisha mwaka huu karudi kwa mourinho?
mwaka jana alikua fresh kufunga magoli au kudrible? hukumbuki Rashford alivyokua anarudisha mpira nyuma, anasubiri ipigwe n akilimbie mbele ya beki? take ons kaua Jose
 
★Five clean sheets in seven domestic cup games for Dean Henderson this season

#GGMU

manutd |
IMG_20210210_111111_258.jpeg
 
mwaka jana alikua fresh kufunga magoli au kudrible? hukumbuki Rashford alivyokua anarudisha mpira nyuma, anasubiri ipigwe n akilimbie mbele ya beki? take ons kaua Jose

Jose anauwaje mchezaj wa miaka 20? hazard?ronaldo? Etoo? Zlatan? Drogba hao mbona hawakufa? Ni kwa uchache tu
 
Hii post yako mkuu jana umenishangaza sana hebu ona na hawa mchezaj akiwa chini ya kiwango hakuna anaemchukia ukweli usemwe akifanya vizur asifiwe

Nampenda sana rashford tena kwa sababu anatokea kwenye academy yetu na napenda afanye vizur zaidi mech nying sana anakosa magoli mwisho wa siku tunatoa suluhuView attachment 1698929
View attachment 1698930
View attachment 1698931
View attachment 1698932
View attachment 1698933
Rashford huyo huyo jana katoa assist ya goli.

Hakuna mchezaji asiyekosa clear chances duniani hata Messi, Lewandoski na Ronaldo wanakosa pia.

Rashford ndiyo kwanza ana 23 years 250 appearance with 83 goals pale epl au ligi yoyote Europe nani mwingine age ya Rashford anayecheza winger mwenye hizo records ?
 
Donny van de beek kapoteza kabisa hali ya kujiamini jana ubao wa kubadilisha wachezaj uliposhikwa naona macho yote anaangalia kibao tu anajua lazima atolewe tu kuna wachezaj wanacheza hovyo sana kwenye hii timu wanamaliza dakika 90 wanavumiliwa had wanarudi kwenye viwango vyao watu mnamshambulia sana huyu dogo kasajiliwa kwa hela nyingi kisha anakaa bench anapataje confidence?

Mwingine anakwambia hapa tumepigwa kacheza mech ngap dakika 90 kama wale wakosa magoli wanavyochezeshwa? Bruno kiungo ana goli nyingi kuwashinda ma striker

Huyo dogo akipata kocha sahihi hata ule muda anaupata atafanya makubwa.

Sosha ni kocha wetu na tunampenda ila madogo wengi kashindwa kuwaongoza kuja kwenye timu ya wakubwa toka kwenye academy ya hii timu wengi wametolewa na van gaal na mourinho tusahihishane hapo yupi kinda katolewa na sosha?
Mason Greenwood, Brandon William's
 
Donny hajapoteza confidence kinachotokea bado hajaadapt intensity ya ligi vizuri.
 
Back
Top Bottom