Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunahitaji sana mkurugenzi wa ufundi. Huyu fala hana mipango kabisa ya kiufundi anajua ku-sign cheque tu.

Huwa najiulizaga sana kama Marcus na Anthony waliweza ku-negotiate nae mezani mpaka kuwalipa $200k kwa wiki, je vipi kwa Bruno ukifika wakati wake wa kuongeza mkataba? Si tutamlipa $500k/weekly.

Madhara ya kulipa mishahara mikubwa ina-limit timu ku-accommodate talents nyingi kwa wakati mmoja kila mchezaji akitaka kuja anaona hapa ndio mahala pa kulipwa pesa ndefu.

Kwa akili za Ed sina imani kama angeweza kui-manage ile Manchester United ya mwaka 2006 - 2009. Ange-inflate salary budget beyond manageable capacity. Ingetulazimu tuuze baadhi ya wachezaji.
Yani pumbavu km martial ambaye pale Bayern angepewa 80 kwa wiki huku anakula 200 daahhh aloo, na ukitaka kujua nguvu ya tm ktk kuvutia wachezaji angalia salary ya wachezaji wanaolipwa pesa ndefu alafu angalia viwango vyao lazima ukute ni world class players, ila ukikuta tm inalipa average player pesa ndefu ujue ushawishi sokoni mdogo, huyu Martial na Rashford pale madrid, barca, au Bayern hata 120 hawalipwi.
 
leo sina amani kabisa na uyu moyes david na sina amani na uyu shetani leo
asiji kwenda kilaini tukaumia nitaambia nini wajuku zangu mimi
 
★Ole Gunnar Solskjaer has revealed Paul Pogba will be sidelined for 'a few weeks' with a thigh injury

#GGMU

manutd |
IMG_20210209_121610_908.jpeg
 
★• FA Cup - Round 5
• Man Utd - West Ham
• Tue, Feb 9, 19:30 BST
• Oldtrafford★

#GGMU

manutd |
IMG_20210209_121429_995.jpeg
 
The first leg of the Europa League round of 32 tie between Real Sociedad and MU is "aimed" to finally be held at the Allianz Stadium in Turin, due to the restrictions caused by covid-19, which prevent the arrival of people from the UK in Spain.★

#GGMU
#Marca

manutd |
IMG_20210209_120702_056.jpeg
 
★Hizi habari zikenifurahisha sana mpka nimekunywa SODA
degea OUT THEN WOT MAKIPA WAMEKUWA ADIMU SANA
PIA MAN U UKIWA MCHEZAJI LAZIMA PRESHA IWE KUBWA SANA

YUPO WAPI HAZARD PALE REAL MADRID IZI TIMU KUBWA MASHABIKI WANAWAPA PRESHA SANA WACHEZAJI
 
Back
Top Bottom