radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wananishangaza sana humu...
Yale yale ya januzaj
Ronaldo angeanza kucheza mapema shida ya manchester united ile walikuwa wakongwe wengi
Wananishangaza sana humu...
Yale yale ya januzaj
Na vile ndio ilivyotakiwa kipindi hiki ivi vitoto vinakaa benchi kujifunza maujuzi ya wakongwe na sio kuvijaza kibao senior timuRonaldo angeanza kucheza mapema shida ya manchester united ile walikuwa wakongwe wengi
Ampnge tu maana at kina martial bado wazinguajiDogo may appear as a substitute?View attachment 1698445
Ubashiri wangu
Manutd 2-1 West Ham
BTTS
O2.5
Edson Cavani to score at any time
Amad Dialo
Remember the name