huyo rashford munaemponda kwamba ni mchoyo ndo huyo huyo amepiga cross cavani kafunga kichwa, tatizo mashabiki wengi wa man u humu muna favourites, kuna watu hata wakizingua kwenu sawa ila wengine ni kosa wanakuwa mbuzi wa kafara.
cavani kakosa goli ngapi vs arsenal? angekuwa ni martial ama rashford yangekuwa matusi ya kutosha tu. so far rashford ndio forward wetu aliejitahidi kushinda wote msimu huu, na whoscored wamemtangaza kama man of the match mechi ya leo vs everton
View attachment 1696350