Ngoja niangalie highlight za perfomance ya amad diallo nilale zangu, maana huyu muafrika ameshakua sehemu ya historia tena duniani kwa mara nyingine(tuanzebe) anafanya ujinga wa wazungu kabisa
defence-wakabaji, lile goli la pili la james sijui nimeliona mara ya ngapi msimu huu tunafungwa same story leicester, shefield etc si tatizo la beki bali kiungo mkabaji anashindwa kunusa hatari zile.